Kwa sasa hili ni swala la muda tu. yaweza kuwa mwakani au miaka kadhaa baadaye.
Kwa hali halisi muungano wetu uko katika mashaka makubwa sana, hasa baada ya Zanzibar kufanya mabadiliko ya kumi yaliyo itambulisha Zanzibar kama Nchi.
Kwa kuwa dalili za kubaki na mfumo wa serikali mbili zinazidi...
Nilifikiri kwa kuwa uchaguzi umekwisha na mshindi wa ubunge amepatikana nisinge endelea kuzungumzia lolote juu ya Igunga!
Nimerudi na thread hii hasa baada ya kuona picha halisi katika CTV chadematv's Channel - YouTube
Nilichokiona:-
1. Watu waliozoea kuishi pamoja tangu kuumbwa kwa IGunga...
Ni lazima mtu akubali kushindwa na au akubali kushinda!
Ikiwa CHADEMA wanakubali kushindwa, zifuatazo ndio sababu?
1 Sera za CHADEMA hazieleweki?
2 Watanzania hawana uelewa wa kutosha wa mfumo wa vyama vingi?
3 Ugumu wa maisha kwa wananchi ni propoganda za CHADEMA?
4 Wananchi wa igunga hawana...
BATAMIKI kufanya dua ikiwa CHADEMA haitaomba radhi
Kauli CHADEMA kuwatuhumu masheikh kuwa wanatumika kuipa ushindi CCM katika uchaguzi mdogo wa ubunge Igunga, zimechukua hatua mpya baada ya Baraza la Taasisi za Mikutano ya Kiislamu (BATAMIKI) kuipa CHADEMA siku tatu kuomba radhi kwa...
Shibuda unatafutwa uende Igunga kushindanisha kisukuma na magufuli bado haujarudi nje? Kumbuka wewe unamchango mkubwa kwetu licha ya tofauti kadha zinazojitokeza lakini bado tuna kuamini.
Ni ajabu na kweli, watanzania wote wanauangalia uchaguzi wa Igunga kama uchaguzi wa kitaifa, kwa sasa watu wanaangalia TV ili kupata updates za igunga na ikitokea taarifa inakaribia kuisha watu wanatukana kuwa hawatendewi haki kutokupewa taarifa za Igunga. Maofisini ndio gumzo, vijiweni usiseme...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.