Historia inaonyesha ili super power izaliwe lazima pawepo na vita ya dunia na bwana mkubwa atakaekuwa imara kijeshi na ki uchumi wakati wa vita vikiendelea huyu ndie atakaekuwa kiongozi wa dunia. Hali inaonyesha kuna taifa linatakakuchomoza kuwa superpower. Marekani inajaribu kutunisha msuli ili...
Shule walitufundisha kuwa historia ni somo la maisha ya nyuma ambalo pia umuhimu wake hutusaidia kutabiri maisha, ya mbele, ukiwa mzuri sana katika historia lazima uwe mbashiri mmoja mzuri sana. Ukiwa empty kichwani kamwe huwezi hisi chochote wala kuwa na hisia na wala huwezi ku predict...
Ni kweli kabisa ila kuna vitu vyengine ni UNTOUCHABLE. Ukichezea dini hakuna mtu atakaekupenda katika maisha hata wasio na dini pia watakuchukia (wengine wana maslahi nazo ya kidunia). Dini ni nature ya ulimwengu ambayo kamwe huwezi kuipitia kwa mbele na kuikinga, we tulia tu na uvumilie tu...
Jamani kuna watu waongo kweli duniani, utakuta mtu anaumwa halafu anatoka mtu mwengine anakwambia eti Jaribu kuchemsha bunda la mpapai utapona.
Kuna jamaa mmoja nilimkuta akichemsha majani ya nanasi kaambiwa kuwa ni dawa ya kibofu. Na wengine huambiwa kuwa ukichemsha mbao zile za 2×2 za...
Nimekumbuka kuna mwaka nikiwa nafanya mtihani wa moko form 2 nilijibu swali la biology ulikuwa ni mchoro wa seli ya mmea. Sasa mm nilikuwa natumiaga vitabu vya biology vya kiingereza (yaani kitabu kimechapwa uk) sasa michoro yote ya biology nilikuwa situmii vya mitaala ya tz, ilipokuja kujaza...
Goli la Ronaldo never hit the bar ajib goli yake imegonga bar ya juu (angled) nakuvuka goal line hili bao bado ni best wakati wote. Goli hili litakuja kufifia labda pawepo na tukio lingine mfano World cup ichezwe Tanzania.
Katika hali ya kawaida, tunafahamu kuwa waumini wa dini ama Uislamu au ukristo na kama si uyahudi hawa watu huwa wana uchamungu wa dhati kabisa yaani kutoka moyoni mfano akitokea mtu anataka kuharibu alama ya dini yao husika basi watu huja juu na hata pia kuchukia kutoka moyoni na mara nyingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.