Goli la Ajibu unaweza kuchukulia mkopo bank yoyote ile duniani

hahaahaha na huko nje ya dar tukishinda utarudi kusema nasubiri mkitoka kimataifa muone mtakavyo pingwa.

kifupi yanga utasubiri sana, huko nje tutawapiga kama tupo taifa tu.
...Yanga gani ile iliyoparanganyika ilipocheza na Simba juzi. Utamu wa ligi mtauona mikoani.
 
Hakuna kitu... Wabongo ndio zenu wazee wa kusifia....

Mpira unaambaa ambaa juu kajiandaa umefika kapiga...


Bora ingekuwa kuanganisha cross direct....

Sa eti kainuliwa mpira kapiga... Basi masiiiiifa kibao....


Goal zuuri ila mkopo hauchukulii.... Labda vikoba.
 
Back
Top Bottom