Search results

  1. H

    Msaada wa Shule ya Secondary ya Kulipia

    Naombeni namba za simu za uchama secondari nzega za mwalimu headmaster au secretary nina shida nazo msaada jaman
  2. H

    Anapiga sana kelele wakati wa tendo

    Jinsi ya kutafuta kama umepangiwa chuo gani yaan post zimetoka kwa wale waliofaulu ups hajapata nafas za form5 sasa jinsi ya kuangalia nichuo gani amepangiwa nimeshindwa kutafuta
  3. H

    Anapiga sana kelele wakati wa tendo

    Anaejua jinsi ya kuangalia kama umepangiwa chuo au shule msaada mi suwez anaeweza nimtajie jina anisaidiie
  4. H

    Ni aibu ama inakuaje?

    Mi niko nje ya mada jinsi ya kuangalia kama umepangiwa chuo au shule gani siwez nisaidien anaejua nimtajie jina aniangaluzie plz
  5. H

    Ni aibu ama inakuaje?

    Sio kila mwanamke ana aibu au labda unatisha
  6. H

    Ni aibu ama inakuaje?

    Mmh utakua unavutia una sura au umbo la kimahabat kwa wanawake si unajua kuna vitu fulan twapenda
  7. H

    Anapiga sana kelele wakati wa tendo

    Atakua ana act na kama hujamwambia atajua unapenda ndo staking'unika huyo mpaka ukome mwambie hupendi kabisa utashangaa anaacha kabisa
  8. H

    Anapiga sana kelele wakati wa tendo

    Mwambie ukweli hupendi kelele ndio agune ila asizid we nyege zinashuka na umwambie mkiwa ktk hali ya kawaida la sivyo ang'ate mto
  9. H

    Natafuta marafiki humu JF

    Mmh yeyote maana hujasema jinsia au zote tu
  10. H

    Tujadili unga wa lishe wa watoto haijalishi umri

    Kwanza kabisa lishe ya mtoto inategemea na umri kuanzia miez6 mpaka8 au9 ni vzr kumpikia nafaka moja kila wiki ili hata kuna yenye aleji kwake ujue , Halafu kama utachanganya nafaka zisizid japo kila nafaka ina kaz yake
  11. H

    Ushauri juu ya maziwa ya mtoto wa miezi miwili na pointi.

    Kwanin asimnyonyeshe miez 6 jaman mkamjengea immunity ya kutosha na hata kama anaenda kazin si akamue tena rahis kweli muhimu mama ale vizr tu haya maziwa ya kopo hasa lactogen sio mazur kabisa na mengi feki labda s26 ndo mazur na yenyewe ni expensive hata kama mnauwezo maziwa ya mama ni muhimu...
  12. H

    Binti ananitishia kunifanya ndondocha

    Hihiiii eti baada ya undondocha urudi kutuambia nimecheka kama mazuri
  13. H

    Tanzia: Nimefiwa na Baba yangu Mzazi (RIP Daddy)

    Duu pole sana Mungu akupe nguvu tu
  14. H

    Nimechoshwa na maelekezo yake 6x6

    Muhimu kama ndo hamjazoeana kabla ya jambo kuanza kila mtu afunguke kwa mwenzake mi huwa napenda iwe hivi au iwe vile kila kitu siku mkikutana ni kuendeleza tu na kuoneshana sasa mafundisho barabaran na ndo kwanza gar analishika si atagonga lazima tu
  15. H

    Ndoa za sasa laana tu

    Yaan hakuna kitu nakifurahia jaman kama ndoa nina mwaka wa nane ni raha tu unajua ndo ni ubunifu tu hasa kwa mwanamke na kuheshimiana usiiweke ndoa kama kituo cha police yaan unaiheshimu wee au kuogopa na ndo mwanzo wa kusalitiana ila mkiishi kirafiki kila mtu anachohitaji anamwambia mwenzie...
  16. H

    Je, ni sahihi mpenzi kuja kwako bila taarifa?

    Mbona kawaida sana maana tena anajua mazingira ya hapo anafika anachukua funguo kama hauko na kuanza kufanya usafi sasa hapo tatizo nin shda hamjiamin na kutotosheka
  17. H

    Kwa wanawake tu

    Inategemea alikutoa kwa njia ipi kama alufuata procedure na mliachana labda utoto tu kwanin .......
Back
Top Bottom