Search results

  1. Laigwanan76

    Nilimkuta mke wangu bikra ila na bado nilichapiwa, wewe Je?

    Utawakuwa kwa list ya Fobes....jina lako nani vile tujiridhishe
  2. Laigwanan76

    Fikiri tena kuhusu mahusiano

    Natumia sana nguvu kukuelewa....ngoja ni prioritize mengine kwanza
  3. Laigwanan76

    Penzi langu na Kijana limeniharibia Feelings na mume wangu

    aaaah we noma...nimecheka mpk bac
  4. Laigwanan76

    Same: Walimu wakutwa wakipewa mafunzo yaliyopigwa marufuku na Serikali

    hawana mbinu zozote za ajabu, wameangalia njaa zetu na kutumia hiyo fursa....sidhani kama utamuona hata mzungu mmoja akijinasibisha moja kwa moja katika waandaaji wa hiyo semina....kwa hakika ni ndugu zetu wanaofanya kazi kwenye hizo taasisi au kuzimiliki....... ...nao kwao maslahi ya tumbo...
  5. Laigwanan76

    Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

    hapa ndio inapokuja sala la kujua ni mbegu gani bora an jee shamba linahitaji mbolea kiasi gani ili uweze kupata mazao mengi per sq meter, in essence bushels per acre....kwa kifupi bado hatulimi kibiashara na hatufanyi utafiti wa kutosha!
  6. Laigwanan76

    Mume na mke wa ndoa kuishi makazi tofauti ila hukutana kwa ajili ya sex

    sio mzima wewe....unahitaji ushauri wa kisaikolojia. Unaweza kusema una fikra tofauti na za kimapokeo, lakini hili kisaikolojia pia liatzidi kukuharibu,tafakari!
  7. Laigwanan76

    Dalili za mwanamke asiyekupenda kwa dhati

    pesa sabuni ya roho.....ila si kila kitu!......hii inanikumbusha wana waisraeli walipokuwa jangwani kutoka Misri kuelekea nchi ya ahadi Mwenyezi mungu aliwalisha Manna ambayo ilikuwa bora kuliko vyakula vya duniani ila watu hawa hawakutosheka au waliboreka wakata vyakula vyao dhalili vya...
  8. Laigwanan76

    Kumuamini mwanamke ni tatizo

    Maisha ni kuchagua, ni kila chaguo lina risks zake.....kwenda masomoni ni vema kwa jailli ya fursa za maendeleo kumuacha mke peke yake nayo ni risk ambayo inaweza kuwa na matukio hasi.....binadamu kuwa free ni risks anaweza fanya machaguzi yasio sahihi kutokana na vishawishi na udhaifu wa imani...
  9. Laigwanan76

    Faida 10 za kula Matango

    Inabidi Ule matango pori
  10. Laigwanan76

    Biashara gani yenye kuingiza faida ya milioni 100 mpaka 500/mwezi/wiki/siku?

    Nadhani biashara ya mgodi wa Madini iko poa Kama una nyenzo pia, Kwa ujumla Kuwa na kikosi kazi kidogo ila chenye uwezo mkubwa wa uzalishaji kwa siku.....ila ukienda na mfumo wa sururu jembe utakaa sana
  11. Laigwanan76

    Serikali: Marufuku kuosha gari pembeni mwa barabara, faini laki 2 na kupelekwa mahakamani

    Acha roho ya kimasikini....cha msingi ni wawe wazingatiaji wa sheria!
  12. Laigwanan76

    Tathmini ya mapato ya kilimo cha michungwa 1000 baada ya miaka 3

    Atakuwa alimaanisha mwaka mzima....ikiwa unamwagilia continiously,kwani mauwa mengi yanakuwa baada ya supply ya maji ya mvua kukatika.....just a thoought
  13. Laigwanan76

    Sell everything! 2016 will be a 'cataclysmic year,' warns RBS

    the evil power behind the 1% of wealthy holding society at work........................some big companies will loose and some will gain.....that is why most big companies have diversified. mostly katika haya makampuni wawekezaji wakubwa hua hawaathiriki kwa sabau za are well protected bali...
  14. Laigwanan76

    Serikali yasitisha Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Kuimarisha Bandari za Mtwara, Dar

    I agree with you chief.....but Tanga nako tatizo nadhani ni Kina .....hebu tusubiri wenye data watuambie.....lakini na Bagamoyo je kina kinatosha?
  15. Laigwanan76

    Serikali yasitisha Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Kuimarisha Bandari za Mtwara, Dar

    yezakuwa uko right.....je kina cha bandari hii kikoje?
  16. Laigwanan76

    Serikali yasitisha Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Kuimarisha Bandari za Mtwara, Dar

    hapo umenena.....nadhani wengi tunachangia kwa hisia....lakini pia ni moja ya maana ya mjadala.....lets analyse......kuna aliyesema upembuzi ulibainisha kuwa hitaji la bandari kubwa na ya kisasa kwa karne hii isingiwezekana kwa kurekebisha tu zilizopo, je ni kweli au zilikuwa fact za kupikwa...
  17. Laigwanan76

    Kondoo na radi

    tehetehe nami nilikuwa nafuatilia nione kama ni mimi pekee ndio nimeliona hili.....ahsante....kula like :cheer2:1000
Back
Top Bottom