Search results

  1. josegorofani

    Faida za kuwekeza na Vodacom huduma ya M-pesa

    Huduma ya M-pesa ya mtandao wa Vodacom inayoongoza Tanzania kwa watumiaji wengi, imetoa fursa kubwa kwa watu mbalimbali kubadilishia maisha na imetuingiza watu wengi kwenye mfumo wa kifedha. Nakumbuka tangu kuanzishwa kwa Vodacom M-pesa mwaka 2008 watanzania imeturahisishia huduma za kifedha...
  2. josegorofani

    Kwa uhai wa CHADEMA lazima M/kiti wa Mbowe kuvuliwa uwenyekiti wa chama

    Katika hali isiyo ya kawaida Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kimejivuruga katika kupambana na Paul Makonda baaada ya kumtaja M/Kiti Mbowe kujihusisha na Dawa za Kulevya hivyo kupoteza Dira na Malengo ya Chama hiko. Chadema nimekuwa Chama kikuu cha upinzania Tanzania lakini kwa hali...
  3. josegorofani

    Freeman Mbowe, tueleze CHADEMA mlipompeleka Ben Saanane

    Kuna vijana wa CHADEMA waliyojipa jina la TUG waliojitokeza kuutangazia Umma kuwa kijana mwenzao ambaye ni Katibu Msaidizi wa M/kiti wao wa Taifa Chadema Freeman Mbowe, pia ni Mkuu wa Idara ya Utafiti na Sera Chadema Makao Makuu Ndugu Ben Raibu Wa Saanane amepotea na hajulikani alipo takribani...
  4. josegorofani

    Maswali na majibu kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Bungeni Dodoma

    Tazama hapa moja kwa moja kutoka Bungeni, Bunge la kumi na moja, kipindi cha maswali na majibu kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, kisha maswali ya kawaida kwa Serikali. Bofya hapa kutazama
  5. josegorofani

    RITA kuanza kutoa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto bila malipo

    RITA kuanza kutoa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto bila malipo. Je?Unamtazamo gani katika hili mtanzania! #PazaSautiTz
  6. josegorofani

    Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni aweka wazi mipango yake baada ya ziara yake

    Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Ally Salum Hapi amefanya ziara ya vituo vya Afya vikiwemo Tandale na uwanja wafisi sasa jijini Dar es Salaam na kuweka wazi mipango yake ambayo ameiona akiwa katika ziara hiyo. Ally Salum Hapi moja ya wakuu wa Wilaya walio na nguvu kubwa haswa ukizingatia aliyekuwa...
  7. josegorofani

    Mlemavu adaiwa kumbaka mtoto wa miaka 12

    Mkazi wa Tandale kwa Tumbo jijini Dar es Salaam, Salum Abdallah, maarufu ‘Dama’ (40) ambaye ni mlemavu wa miguu, amepandishwa kizimbanzi katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, akikabiliwa na mashtaka mawili likiwamo la kubaka na kumwingilia kinyume cha maumbile binti mwenye umri wa miaka 12...
  8. josegorofani

    Serikali yasisitiza kufuta tozo 5 kwenye korosho

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema uamuzi wa Serikali wa kufuta tozo tano kati ya tisa alizokuwa anakatwa mkulima wa zao la korosho uko pale pale na unatarajiwa kuanza kutumika katika msimu mwaka huu hivyo ameitaka Bodi ya Korosho kusimamia uamuzi huo. “Watendaji wa Serikali katika ngazi...
Back
Top Bottom