Faida za kuwekeza na Vodacom huduma ya M-pesa

josegorofani

Senior Member
Aug 19, 2015
197
69
Huduma ya M-pesa ya mtandao wa Vodacom inayoongoza Tanzania kwa watumiaji wengi, imetoa fursa kubwa kwa watu mbalimbali kubadilishia maisha na imetuingiza watu wengi kwenye mfumo wa kifedha. Nakumbuka tangu kuanzishwa kwa Vodacom M-pesa mwaka 2008 watanzania imeturahisishia huduma za kifedha kwa uhakika na haraka. Ndio maana leo hii Vodacom wana wateja zaidi ya milioni saba na nusu (7,500,000) ambao tunaopata huduma hii na mawakala zaidi ya elfu themanini na tano (85,000) nchi nzima.

Wekeza na Vodacom katika Huduma ya M-pesa upate faida zifuatazo;
1. Kununua Hisa za Kampuni ya Vodacom kwa M-pesa: Hii ni njia rahisi na salama ambayo sisi waombaji tunaweza kutuma maombi ya kununua hisa kwa kupitia menyu ya M-Pesa (*150*00#). NB Wateja wa mitandao mingine pia wanaweza kutumia kwa Maximalipo kufanya manunuzi ya hisa za Vodacom.Hii Maximalipo imeandaliwa ili kuwezesha wawekezaji wa rejareja wasio na uwezo wa kutumia mifumo ya benki au kwenda kwa dalali wa soko la hisa, kununua hisa. Ambapo Orodha (menu) ileile itatumika kwa wateja wa mitandao mingine kwa kutumia Maximalipo - USSD (namba *150*36#) kununua hisa za Vodacom. Nawaomba watumiaji wa M-pesa wenzangu ambao hamna akaunti ya hisa (CSD) mnatakiwa kujisajili mapema ili kupata akaunti na muweze kununua hisa. Kwani kuwekeza katika hisa za Vodacom kunawezesha kupata maisha bora na kukamilisha ndoto zetu kwa wakati sahihi. [HASHTAG]#WekezaNaVodacom[/HASHTAG]
Usisahau Usajili huu unaweza kufanyika kupitia orodha (menu) ya M-Pesa au Maximalipo.

2. Kuweka na Kutoa Fedha: Wateja tunaweza tukaweka na kutoa fedha kwenye Vodacom M-Pesa kupitia mawakala 85,000 waliosambaa Tanzania kwa gharama nafuu.

3. Wateja wa Vodacom tunaweza kuhamisha na kutuma pesa kwa wateja wengine walioko kwenye mitandao mingine.

4. Kupata mkopo kwa huduma ya M-Pawa: Hii ni huduma ya kuweka akiba na kukopa. Huduma hii ya M-Pawa inatuwezesha wateja kufungua akaunti ya akiba na kupata mkopo kwa gharama nafuu inayolipiwa kupitia Vodacom M-Pesa. Kwa nchi yetu ya Tanzania ambapo wananchi wengi hawafikiwi na huduma rasmi za kibenki, M-Pawa inatujumuisha kwenye mfumo wa kifedha nchi nzima.

5. Huduma kwa Biashara: Vodacom M-Pesa inatuwezesha kutuma pesa kati ya akaunti za biashara (B2B), na kutuma kwa wateja huduma kama mishahara, na kwa biashara kupokea pesa kutoka kwa wateja wake, au huduma kama ya kulipia bili.

[HASHTAG]#WekezaNaVodacom[/HASHTAG]
Ni Mtandao Imara wenye gharama nafuu….
Tanzania.
vodacom-tanzania-mpesa.jpg
 
View attachment 485456
Nikihifadhi pesa M Pawa (1,000,000) kwa muda wa mwezi mmoja riba/faida/bonus inakuwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom