Search results

  1. M

    Simbachawene anafaa kuwa naibu spika au spika

    Wana jamii nimefuatilia kikao cha bunge jioni hii na nilichogundua kikubwa ni kuwa mwenyekiti wa bunge ambaye pia ni mbunge wa kibakwe ambayo ni moja ya majimbo wilayani mpwapwa mkoa wa dodoma mheshimiwa george simbachawene ana upeo mkubwa wa kuliongoza bunge na anazifahamu kanuni vizuri,pia ana...
  2. M

    Kabila gani, watu wake wanaongoza kuwa Facebook!?

    yani karne hii bado unazungumzia ukabila,acha hizo wewe.
  3. M

    Kwanini Wazanzibar watuite Machogo(Chogo), ni Haki kweli?

    hawana lolote,wabuguzi sana hawa jamaa.Halafu kila mbara aliye kwao wanamuita Mnyamwezi,hawajui kabila jingine zaidi ya Wanyamwezi
  4. M

    Majambazi waua Polisi wawili kituoni

    Hiyo ni changamoto kwako IGP MWEMA na askari wako,nahisi miundo mbinu ya kituo hicho haikuwa mizuri kwani mlango wa lock up ungekuwa na mlango wa grill ambao ni imara hata kama askari huyo baada ya kupigwa na kuanguka ingewawia vigumu kuufungua mlango na kukimbia,kwani askari wengine wangekua...
  5. M

    Ni haki wanajeshi kutoa kichapo kwa raia wasio na hatia ?

    nashauri wanapoenda kwenye mafunzo yao ya awali ktk mitaala yao wawekewe somo la HUMAN RIGHTS inawezekana labda huwa hawafundishwi,no one is above the law bwana.
  6. M

    Serikali: CHADEMA inapewa pesa kutoka nje kuleta machafuko Tanzania

    hatuna sababu ya kukulaumu kwa ulichokiongea,siyo kosa lako lakini tupe ushahidi basi kutudhbitishia hayo uliyosema.Natumai wewe ni msomi mzuri tu na najua utafanya hivyo kwani sote tupo kwa maslahi ya nchi yetu.LETE USHAHIDI MAMA.@JOYCE
  7. M

    Naliona anguko la Kibanda

    Tupe evidence basi kutetea hicho ulichokisema,ili tukishaona tuchangie vizuri
  8. M

    Tuntemeke Sanga: Mbunge aliyekuwa na elimu ya Shahada 7, aliyechachafya miaka ya zamani

    All Sanga are Kingas and not all Kingas are Sangas.
  9. M

    Kwa wanaotafuta kazi jaribuni na hapa

    HELLO WANAFORUM WENZANGU,HASA MNAOTAFUTA KAZI HEBU JARIBUNI KUSURRF KWENYE WEB HII cvsfile.com: East Africa's online jobs and CVs site MNAWEZA KUBAHATIKA,KWANI NI INAHUSU AFRIKA MASHARIKI NA KATI.
  10. M

    Kazi hizi hapa

    Kaka endelea kutuhabarisha ukipata zingine
  11. M

    Ni kweli Anna Makinda ni 'Mbabe'?

    Jamani mi nafikiri hata tukilalamika sana haitasaidia na hawawezi kubadili uamuzi,ila meseji kwa CCM imefika na nafikiri ni changamoto pia katika kuunda baraza la mawaziri,au wenzangu mnasemaje?
  12. M

    Scholarship za kumwaga Czech Republic

    Kaka tunashukuru ukipata news nyingine ya mtindo huu tumegee
Back
Top Bottom