Simbachawene anafaa kuwa naibu spika au spika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Simbachawene anafaa kuwa naibu spika au spika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Meck, Jun 13, 2011.

 1. M

  Meck Member

  #1
  Jun 13, 2011
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana jamii nimefuatilia kikao cha bunge jioni hii na nilichogundua kikubwa ni kuwa mwenyekiti wa bunge ambaye pia ni mbunge wa kibakwe ambayo ni moja ya majimbo wilayani mpwapwa mkoa wa dodoma mheshimiwa george simbachawene ana upeo mkubwa wa kuliongoza bunge na anazifahamu kanuni vizuri,pia ana uwezo wa ku control na hana hasira wala jaziba na hampendelei mbunge kwa itikadi za chama,mlioangalia mnasemaje juu ya hili?
   
 2. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  no! umemwona alivyokuwa na hasira wakati kafulila ameingilia pale??nafikiri jazba sio nzuri kwenye shughuli kama ile,
  kwa mtazamo wangu hafai kabisa kukalia pale.
   
 3. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  olesendeka angefaa hyo nafasi
   
 4. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #4
  Jun 13, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nimempenda hasa mara kwa mara alivyowarudisha wabunge kwenye hoja iliyopo hasa kwa wabunge wa ccm ambao wamejaa maneno ya blabla ya kusifiana na kupongezana badala ya kushusha material ya kuboresha au kukazia maudhui ya mpango. angeruhusu mjadala wa hoja ya zambi pangechimbika - katumia busara kubwa sana huyu mtu.
   
 5. Rocket

  Rocket Senior Member

  #5
  Jun 13, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kijana anajitahidi tumpe mda naye tuone speed yk
   
 6. Kingvictor87

  Kingvictor87 Member

  #6
  Jun 13, 2011
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 25
  ah co kiivo!sema nimefurahishwa na hoja nzuri toka kwa mbunge wa mbozi magharibi,na mh tundu lisu!,daaah mrema anazeeka vibaya sana hajanivuta kwa yote aloyasema.
   
 7. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #7
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Siwengine hatujabahatika kuangalia huyo zambi kafanyejee? Tujuze kilicho tokeya tafadhali
   
 8. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #8
  Jun 13, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Simbachawene ameendeleza yaleyale ya kuonyesha upendeleo kwa CCM ila nimempenda hana jazba yuko social na anaweza ku- balance emotion zake. Control kwa kweli siyo kubwa. Tatizo kubwa ni biassness kwa CCM au kupendelea hoja za kukandamiza upinzani kama alizotoa mzee wa Kiraracha.
   
 9. sifongo

  sifongo JF-Expert Member

  #9
  Jun 13, 2011
  Joined: Jun 5, 2011
  Messages: 4,593
  Likes Received: 2,399
  Trophy Points: 280
  Tena anazeeka ubongo, anatia huruma..
   
 10. M

  Mhombo.S.G New Member

  #10
  Jun 13, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mrema ataanguka kwa kupewa changamoto na Chadema
   
 11. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #11
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Ana bar yake kule vingunguti nimewah pata naye, mchesh na ver gentle
   
 12. Sooth

  Sooth JF-Expert Member

  #12
  Jun 13, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 3,773
  Likes Received: 4,491
  Trophy Points: 280
  Yaani huyo jamaa akiwa spika anaweza kuwa wa kwanza kuanzisha ngumi! Mmasai huyo ngumi iko mkononi!
   
 13. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #13
  Jun 13, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Anajitahidi lakini siku hizi sina imani na magamba ya aina yoyote!
   
 14. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #14
  Jun 13, 2011
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,202
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Hönestly nimeipenda. Anajitahidi sana. Ni bora kuliko wote pale kwa spika wa sasa!
   
 15. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #15
  Jun 13, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Alifanya kazi kwa karibu sana na SIX last term
   
 16. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #16
  Jun 13, 2011
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,493
  Likes Received: 1,050
  Trophy Points: 280
  Mie aliniudhi aliposema Kikwete kwakuwa ni rais basi ni kiongozi wa kila kitu ktk nchi! Alichemsha..
  Aliwashushua vizuri january makamba na Mchemba walipoleta ushabiki wa kipuuzi!
   
Loading...