Search results

  1. M

    Kashfa ya Kontena la Vitunguu Saumu kutoka China: Badala ya kuchomwa vinarudishwa upya!

    Mimi si mtaalamu wa kilimo lakini ninavyoelewa ni kuwa vitunguu saumu havina mbegu (seeds). vinatolewa vipande vyake na kupandikizwa. Kwahiyo kuagiza vingi kutoka nje, mbegu yetu baadae ita phase out.
  2. M

    Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

    1. sina jibu 2. Mgonjwa ndie anayemfuata Dr. Pia haya mambo ni ya imani, ukifika mpaka huko aliko tayari umeonyesha imani kuwa utapona. 3. Inawezekana gharama za dawa na kuchemsha etc. hazizidi 500shs. kwahiyo hataki kuwaibia wagonjwa.
  3. M

    Hebu tujikumbushe hizi movie na majumba ya cinema

    1.Three the hard way. jim kelly, jim brown & fred williamson, 2.sodom & gomorah 3.one silver dola saved my life. - richard roundtree
  4. M

    Kibali/Ramani ya kujenga Ghorofa kinondoni District

    Newmzalendo, ramani kupitishwa manispaa ni lazima in respective of umeitoa wapi. wanachoangalia manispaa sio mpangilio tu ya ramani yako tu jinsi vyumba unavyotaka viwe, ila kuna mambo mengi ya kisheria na mipango miji. Eg. je hicho kiwanja unakimiliki kihalali,(hapo unatakiwa uambatanishe na...
  5. M

    Ninywe Pombe gani wakuu?

    Wakuu, Nimegundua ili ufanikiwe kama mfanya biashara au mfanyakazi wa ofisini inakulazimu kunywa pombe, kwa bahati nzuri au mbaya tangu nimezaliwa 2 decades na ushee ago, sijawahi kunywa pombe aina yeyote kwa sababu hiyo nimekuwa mbali na mafanikio kazini. Katika kudadisi kwangu nimegundua...
  6. M

    Ninywe Pombe gani wakuu?

    Usitegemee pombe kubadilisha maisha yako. Manufaa yatakayotokana na pombe yataishia kwenye pombe
  7. M

    Dawa ya fungus za miguuni

    Paka dawa ya mswaki aina ya colgate. sina uhakika wa siku ngapi inategemea umeathirika kiasi gani, lakini baada ya siku tatu utaona effect. fungus zitaanza kukauka. otherwise nenda kwenye pharmasy kubwa wataweza kukusaidia dawa ya kupaka au na vidonge.
  8. M

    Wazungu walivyokuja mitaa ya kwetu

    mitaa ya iivuga
  9. M

    Enzi zetu zile za kobas na bwaga

    Kama umeukata ukaenda mtoni unarudi na "gurue" pegeout 504 sasa hivi ni kama vogue Movies zetu zilkua 'Three the dardway' Jimy kelly Jim brouwn and Fred williamson.au 'One silver doller saved my life'.etc, Story books zetu zilikua novel za James hardly chase, Sucker punch, Just another sucker...
  10. M

    Enzi zetu zile za kobas na bwaga

    Vijana walioukata wakaenda ugiriki au holand lazima waje na "nguruwe" Pegeot 504. ilikuwa sawa na hamer siku hizi.
  11. M

    Enzi zetu zile za kobas na bwaga

    Thanks kwa kunikumbusha mbali el. huyu ni dj kalikali na huyo mweupe ni dj pantalakis enzi zetu early 90s. hiyo benzi ni ya saidi hilali ali. (BORN CITY) Enzi hizo vijana walikua hawana tamaa sana ya michuma, labda awe ni "sea man"
  12. M

    Harusi ya ivuga na maria roza ilivyokuwa tamu.

    Ivuga umeoa tena, si uliapa ndoa ya mke mmoja
  13. M

    The One World Govt/New World Order: Is this thing for real?

    Inahusiana zaidi na hiyo ya George Bush the father, what was it about? is it over or we are still taking the order
  14. M

    The One World Govt/New World Order: Is this thing for real?

    Wana JF naomba mwenye details zaidi azimwage hapa. Hivi hii New world order au kwa kiswahili kama sijakosea mpango mpya wa dunia, mpango (malengo) yake haswa ni nini? na uko zaidi kisiasa, kiuchumi au kidini. Muasisi wake ni mtu, taifa au bara. :help::scared:
  15. M

    msaada kuhusu kutoa talaka

    Mungu anafurahia ndoa kama mafuta yatiririkayo kwenye ndevu za haruni. Ila shetani anafanya juu chini kuhakikisha ndoa nyingi zinavunjika. Inawezekana dada hao washauri wako wa mwanzo pia ni washabiki wa kutaka kuvunja ndoa yako. Chunga ndoa yako, au ukishindwa kabisa tafuta washauri makini...
  16. M

    Kwa hili Jenerali Uimwengu umewaacha mashabiki wako njia panda

    My take, hapa jenerali anataka kuanzisha mjadala mrefu, tulipotoka na tulipozamia. 2 step forwad, 2 backwards
  17. M

    Hodi x 3

    Thanks yeshua for warm welcom, nimeigia hapa jf naona watu wamelewa chakari, pombe mbaya sana ya POLITICS.mpaka wanacora ramani (wanapepesuka) What the hell is this !
  18. M

    Hodi x 3

    politics is a dirty game dont get involved 2much. for your health
  19. M

    Hodi x 3

    Nilikua nafuatilia jf kwa karibu, imenipendeza nijiunge, ila wadau, mnanishauri nianze na topic gani inayopendwa humu:cool:
Back
Top Bottom