Search results

  1. T

    Saa za mwisho za mpendwa Magufuli zilijaa maumivu na majuto mengi

    Ukifumba macho kwa kifo unafumbua macho ya rohoni na kujua wanaokupokea ni akina nani kutokana na ulivyojiandalia... Wakatoliki tunaamini kuwa mpako wa mwisho hufuta madhambi yote na kufungulia mlango wa Mbingu... RIP JPM
  2. T

    Nimeamua kuwa na Mchepuko. Mke Haeleweki, mawasiliano kila siku na wakwe, mashemeji, mawifi, wa X- Wake

    Inaonekana nyumba ilikuwa kwa jina la mke wake... Vitabu vitakatifu vimeandika tuishi nao kwa akili...
  3. T

    Huyu mwanamke ana sonona. Msaada wakuu

    Kwamba wakati anaondoka mtoto wa mwisho alikuwa na miezi mitano, ikimaanisha leo mtoto wa mwisho atakuwa na miaka mitano na miezi mitano...
  4. T

    Kumbukizi muhimu ya mwanariadha John Steven Akhwari

    Sidhani kama alipewa. Maana jamaa walitaka kujenga kijiji cha Olympic na viwanja kijijini kwake serikali iligoma... Na Binti yake ambaye nilifanya naye kazi alimtaja hadi huyo waziri wa michezo, hakupewa stahiki zake nyingi na kilichouma familia ni kitendo cha kuzuia kujengwa kiwanja na kijiji...
  5. T

    Kumbukizi muhimu ya mwanariadha John Steven Akhwari

    Niliisikia stori hii kwa binti yake mmoja ambaye niliwahi fanya naye kazi kwenye taasisi moja. Ilikuwa inspirational kweli, wageni walimtembelea sana na ambapo walitaka kujenga kiwanja kijijini kwao llakini serikali ilimtilia ngumu na kuelekeza ujengwe sehemu nyingine. Wahisani waligoma na mradi...
  6. T

    Mali za Cyprian Musiba zitakazopigwa mnada

    Azitumie kulipa gharama za kumfunga... Yaani ajikaange kwa mafuta yake mwenyewe... Niliwahi ingia kwenye anga zake alinipiga mkwara kuwa atanishughulikia, nikamwambia just do what you want, ila pua yako imeangalia chini utanifata tu... Hiyo hela hadi leo hajalipa...
  7. T

    Utata: Mtuhumiwa adaiwa kujinyonga kwa Nguo ya Ndani akiwa Kituo cha Polisi

    Hivi mahabusu huwa anakaa mtu mmoja kiasi kwamba anapojinyoga hakuna mtu anaona na kujaribu kuzuia?
  8. T

    Kenya tatizo ni nini, mbona serikali inazidiwa nguvu na makundi ya wahalifu?

    Umenikumbusha issue ya westgate saga... KDF walinaswa na camera wanaiba kwenye supermarket
  9. T

    Msaada: Mmewezaje kupona maumivu ya kufiwa na mtu wa karibu?

    Hii kitu ni changamoto sana na inaweza kukusababishia depression. Kitu cha kwanza kubali kuwa ni kweli si ndoto. Kitu cha pili badilisha namna ya maisha uliyokuwa nayo wakati akiwepo. Fanya marafiki wapya, anza kuishi upya. Usipende kukaa peke yako, kaa na watu wengi na ambao hasa hawajui...
  10. T

    Je, nini kingemtokea Lissu kama Naibu Balozi asingeingilia kati?

    Zaidi ya kiingereza kibovu hakuna la maana umeandika.
  11. T

    Mama Onema: Mchawi aliyekuwa na dawa ya kuzuia Risasi huko Congo

    Option ya translation iko wapi? Siioni
  12. T

    Hakuna furaha kwenye uuaji, damu ya binadamu ina roho

    Kuna kuua makusudi kwa kudhulumu nafsi. Mfano mtu hana issue yoyote na wewe mara unaenda kumuua, lazima marehemu akuulize kwa nini umeniua? Kama ulitaka kumdhuru na katika kujitetea, nafsi yako inakuwa na jibu kuwa nimekuua ili kujilinda maana ulitaka udhulumu nafsi yangu bila kosa...
  13. T

    SoC02 Fahamu haya mambo mawili kabla ya kuamua kufanya biashara

    Kwangu mimi masoko ndo kitu muhimu sana katika biashara. Unapofungua biashara, unategemea kumuuzia nani? Tabia ya ununuzi wake ipoje? Wateja wako wanataka nini kutoka kwako? Ukiweza kulitambua soko lako na kulihudumia ipasavyo na kuwashinda wapinzani wako ambao wanauza bidhaa kama yako basi...
  14. T

    Je, alichofanya ni sahihi kuondoka na mtoto bila kuniambia?

    Simple, beba mabegi mwambie nimekuja kulea mtoto... Mtoto wa pili atapatikana fasta
  15. T

    Kama siyo " Mtumbwi" labda Kanisa lisingejengwa Juu ya Petro na kama siyo Mtumbwi wa Majaliwa labda hata Victor asingejiokoa ajali ya Precision

    Tuna shida sana. Ingekuwa rahisi wangefungua muda ule ule imedondoka na marubani wangekuwa wa kwanza kutoka. Siasa ishaanza kuingia hapa
Back
Top Bottom