Search results

  1. D

    Haraka haraka haina baraka! Subira yavuta kheri

    Kiongozi nina shida na wewe, nakuomba inbox tafadhali.
  2. D

    Ndoto ya kuwa askari inayonitesa hadi sasa

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  3. D

    Mo Dewji na familia yake ambayo haioneshwi kwenye tv

    Picha haina shida sema hilo pozi alilokaa jamaa, wanaume huwa hatukai hivyo.
  4. D

    Iran: Tutapuuza maonyo ya US ya kutoingilia mzozo wa Gaza

    Mkuu ongeza nyama hapo kwenye reptilian family na uvumbuzi wa teknolojia, hao reptilian family ni kina nani? Na hiyo teknolojia kwanini iwe Nevada tu na sio sehemu nyingine duniani?.
  5. D

    Eti mtoto mdogo wa kike akivalishwa shanga tangu akiwa mdogo akikua anakuwa na makalio makubwa?

    Wanawake wa West Africa wanaamini hivyo na hufanya kwa watoto wao tangu wakiwa wadogo kabisa kiumri, nimekutana na zaidi ya mabinti 5 wa West Africa wote wanadai ni kweli inasaidia kumfanya mwanamke kuwa na shepu nzuri. Kiasi nikaamini kuwa labda ni kweli kutokana na kuwa na wanawake wengi wenye...
  6. D

    Nay wa Mitengo, laana ya baba ake na mihemko ya kisiasa ina mvuruga kichwa

    Wimbo mzuri sana, mtoa mada una matatizo sana. Hao viongozi wako wakitaka kukuibia hawaoni aibu na wala hawana hiyo staha ambayo umemtaka Ney wa mitego kuionyesha mbele zao. Jamaa sio mnafiki kaongea ukweli sioni shida unless uwe hupendi kuambiwa ukweli.
  7. D

    Habari nyeti na nasaha zangu kuhusu vijana watakaofanya kazi na DP World

    Upuuzi mtupu, wachukue mali yetu halafu unakuja kujisifia kuwa tutapewa ajira. Kwa akili hizi maendeleo tutaishia kuyaona kwenye Tv.
  8. D

    TRA must tax Diasporas

    Umeongea point ya msingi sana, Yaani tulipe kodi halafu wao waishie kuwahonga malaya wao hiyo kitu haipo abadani.
  9. D

    Ukatili uliofanywa na wajerumani katika nchi yetu na Namibia dunia haisemi

    Kama kweli tupo serious na hili tungeanza kwanza na wajerumani Weusi wa Chama cha kijani maana hao wameturudisha sana nyuma kimaendeleo.
  10. D

    Top 3 Of all time kwa hapa Bongo

    Prof J apewe maua yake, naona kila mtu kamtaja. Binafsi namkubali pia kibongo bongo amefanya vizuri sana kwenye hip hop.
  11. D

    Zitto Kabwe: Membe alitupigania dhidi ya tabia Mbaya ya Watu wenye Mamkala kutumia Wahuni kutukana Viongozi wenzao

    Hata halihitaji akili kubwa, yeyote mwenye akili timamu ni rahisi kulitambua hilo. Yupo msibani badala ya kuomboleza yeye anarusha vijembe.
  12. D

    Fursa mji wa Katoro mkoani Geita

    Vipi Katoro pameifunika hadi Tunduma?, nimepita maeneo yote mawili kitambo kidogo.
  13. D

    Tulipofika: Hawa Siyo Binadamu Halisi, ni Future of AI and Nonprofit Growth in Web 3

    Ongeza minofu brother, kuna siri gani nyuma ya haya mapinduzi makubwa ya technology!?
  14. D

    Tulipofika: Hawa Siyo Binadamu Halisi, ni Future of AI and Nonprofit Growth in Web 3

    Ongeza nyama kidogo mkuu, hizo creations nyingine zinatoka wapi? wana maumbo kama binadamu? na kwanini wanaenda kwa ngozi nyeupe tu?
  15. D

    Kumfananisha kumesababisha aliwe

    Kwa maelezo yako ni kama wewe ndio uliliwa kimasihara.
  16. D

    Green Card Makulilo Lottery

    Wabongo mna nongwa sana hamna jema hata kidogo, jamaa kajitolea kuwasaidia vijana ambao kila siku wanahangaika kutafuta ajira Bongo bila mafanikio mnakuja kumkatisha tamaa bila sababu za msingi. Jamaa namjua ni mkweli sana na pia hana njaa kama ambavyo wengi mnamfikiria. Nakumbuka wakati naingia...
  17. D

    Tony Kapola; Mchungaji kijana machachari, ingizo jpya la watumishi kwa gia ya utetezi wa wanaume

    Huyu jamaa yuko vizuri, anashusha nondo za maana sana. Mahubiri yake si lazima uwe umeokoka ili umuelewe anagusa maisha yetu ya kila siku. Mtoa mada sikubaliani na wewe kumuita huyu jamaa kuwa ni mjanja mjanja.
  18. D

    Maisha ya Marekani - Ukimya, Upweke, Magari n.k

    Kamba za kuanika nguo za nini Mzee, nguo unafulia mashine na unakaushia mashine.
  19. D

    Kwanini Wahindu wanawachukia sana Waislam ambao ni ndugu zao na kuwapenda Wakristo na Wabudha?

    Ni kweli kwenye Quran kuna kifungu kinachomruhusu muislam kujitoa muhanga na endapo atafanya hivyo atapewa mabikra 72 akifika ahera? Hii ni kweli au stori tu za mitaani?.
Back
Top Bottom