Search results

  1. njiro

    Don't cook if you can not eat

    Emotional Affair... Ni hatari
  2. njiro

    Naomba kuujua mji wa Kahama kupitia picha

    Anza na Google, nyingine utaongezewa na wadau
  3. njiro

    'Sold Out' ya Simba tumepata sh ngapi?

    20.00 200,000.00 4,000,000.00 748.00 40,000.00 29,920,000.00 4,160.00 30,000.00 124,800,000.00 4,060.00 20,000.00 81,200,000.00 11,897.00 10,000.00 118,970,000.00 19,648.00 5,000.00 98,240,000.00 17,045.00 5,000.00 85,225,000.00 542,355,000.00
  4. njiro

    Sina homa ila mwili wangu una joto kali

    Kunywa maji mengiii kwa mpigo at least lita moja na nusu
  5. njiro

    Msaada: Nilibadili jina na ninataka kupata Passport. Nifanye nini Passport iwe na jina langu jipya?

    Fanya hivi, Nenda kwa wakili, utengeneze deed poll, nakushauri jina lako lianze na ilo jipya then hayo mengine ambayo yako kwenye vyeti ya shule yafuate hii ili litakupunguzia maswali. Mfano jina lako jipya lisomeke hivyo:- Erick Elieth Samwel Mabula Ukishamalizana na wakili, unatakiwa uende...
  6. njiro

    Waliogundua hesabu ngumu walikuwa wanatafuta nini na walizigunduaje?

    Ulichosema ni hakika kabisa.. kuna huyu jamaa wa india inaitwa Srinivasa Ramanujan, a self taught mathematician.... ukitaka uhondo zaidi tafuta hii movie "the man who knew infinity"
  7. njiro

    Hii ni shida ya Watanzania au Wakenya?

    Hawaja edit... Copy and paste
  8. njiro

    Why Africa girls think all white men have money?

    Sio wanawake Tu, kuna masela wanawinda wazungu ili watoboe...
  9. njiro

    Hivi kwa umri wa miaka 41 niliofikisha naweza kutoboa maisha au ndio basi tena?

    King Charles katoboa akiwa na 70yrs, tena juzi tu
  10. njiro

    Vyuo vikuu anzisheni Bsc. in Census Studies

    BACHELOR OF SCIENCE IN STATISTICS
  11. njiro

    Mtumba grade 1 bei ya sale

    Una account Instagram?
  12. njiro

    Kati ya Nguruwe na ngombe kipi kinalipa?

    Nguruwe wana faida, lakini uwe na chakula pamoja na mbegu nzuri. Wanazaa watoto wengi kulinganisha na ng'ome na kwa haraka
  13. njiro

    Kwanini noti za Shilingi 500 zinatafutwa sana wakati huu?

    zenye watermark ya Nyerere ni adimu
  14. njiro

    Lukuvi na Kabudi waitwa Ikulu kumsaidia kazi Rais Samia nje ya Muundo wa Serikali

    Ndugu, ebu fuatilia historia ya CRDB... Kitambo ilikuwa TRDB. Yeye kaendeleza tu mazuri ambayo wengine walisha anziasha kitambo. Ana credit zake...
  15. njiro

    Nina mke ila nimetokea kumpenda mfanyakazi mwenzangu kazini, na-handle vipi hii hali?

    Achana na huyo wa kazini. Ukimwambia ukweli halafu akakuchomolea, kazini utapaona pachungu( As per experience).
  16. njiro

    Tanzania hatuna 5 hotels kwa vigezo vya Kimataifa

    Thanda Island: Tanzania's $10,000-A-Night Private Retreat
  17. njiro

    Msaada jamani katika kufuta TIN number

    https://ots.tra.go.tz/ gonga hapo... utaipata ukiwa umekaa hapo hapo nyumbani
Back
Top Bottom