Search results

  1. D

    Maiti za watu kila sehemu Gaza. Wapo wanaokufa kwa silaha za Israel na wapo wanaokufa kwa njaa

    Hatusemi maiti za watu bali tunasema maiti tu, kwani neno maiti hutumika kwa binadam aliyefar8ki. Kwa mnyama huwa tunatumia neno MZOGA/MIZOGA
  2. D

    Natafuta mume, awe HIV+

    Kuna zawadi?
  3. D

    Nashauri safari za mabasi kutembea saa 24 zisitishwe, vifo vitamaliza watu

    Safari ziendelee 24 hours, madereva wawe makini tu
  4. D

    Ufanyaji kazi wa viagra

    Achana na tabia hiyo
  5. D

    Hongera Waziri Dotto Biteko kwa kuanza kuimarisha upatikanaji wa umeme

    Bado makali yako pale pale, tusidanganyane
  6. D

    Dhamira ya Inonga haikuwa nzuri

    Dunia hii shida
  7. D

    Uamuzi gani utafanyika mchezaji akikataa kufanyiwa sub?

    Huo ni uhuni na utovu wa nidhamu
  8. D

    Kama Biblia ni kitabu cha kutungwa, nani alikitunga na chanzo na kusudio lake ni nini?

    Ukisoma Fasihi simulizi, kuna mahala nadharia inasema kuwa biblia nikitabu kilichotungwa na watu katika Mashariki ya kati kwa malengo ya kuwatia faraja watu waliokuwa wanakumbwa na matatizo mbalimbali ya kimaisha, lakin kiroho, biblia imeandikwa na mitume wa mwenyezi Mungu walioshushiwa maono na...
  9. D

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tuko sambamba kabisa, tunasubiri mpunga walau za chai na kahawa
  10. D

    Makontena yaliyokamatwa jana na TRA yabainika yalilipiwa kodi

    Rejesha nguvu kwenye madini na secta ya utalii
Back
Top Bottom