Kiubinadamu inaumiza ila kuna uzi upo humu unahusu watu wema kwa nini Mungu huwachukua mapema kuliko hata muda ambao jamii/familia inavyowahitaji. Fact ambayo imeungwa mkono na wengi ni kwamba sifa, utukufu na shukrani wanazopata kutokana na huo wema unabeba sifa na utukufu wa Mungu. Hivyo Mungu...
Hiyo hali huwa inatokea wala sikushangai kuna wakati unajihisi huna hisia na mtu uliyenaye lakini ni kipindi tu cha muda ukiendelea kuwa mvumilivu.
Hiyo hali baadaye inakuja inapotea na utarudi kawaida. Ndio wakati mgumu sana kwa mwanaume kufanya maamuzi ya kuwa na mwenza. Kuna wakati mimi...
Mkuu samahani niliwapa kuku wangu wakubwa tylodox 200 japo si Kwa kuzingatia sana kwa kusuasua sasa nataka kesho nimchinje mmoja kwa kitoweo, kitaalam vipi naweza nikamchinja?
Nimesumbuliwa sana na huyo bacteria. Nimetumia hizo mara tatu mfululizo lakini mara ya mwisho nimehisia shida inaweza ikawa kwenye maji kwa sababu sikuwahi kuwa na imani chanya na haya maji, na kweli yale maji ya mradi wa kijiji walikuwa hawaweki dawa na viongozi wa kamati ya maji ya kijiji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.