Search results

  1. aliyetegwa

    Hii ndio sababu ya kutokuwa na hisia kwa mpenzi wako

    Unahoja naomba usikilizwe Sent from my CPH2239 using JamiiForums mobile app
  2. aliyetegwa

    Naomba ushauri juu ya dawa za kuongeza mwili

    Prof Janabi mbona haeleweki[emoji23][emoji23][emoji23]
  3. aliyetegwa

    Tupeane mbinu: Ni uwekezaji gani wa zao la kudumu ambalo nikilima linaweza kunipa kipato toshelezi?

    Nipo Tabora, nilime miti gani wakuu? Sent from my CPH2239 using JamiiForums mobile app
  4. aliyetegwa

    Picha: Aliyemtakia hayati Lowassa kuwa Ikulu sio wodi ya wagonjwa akitinga Karimjee kwa mbwembe

    Vyama vyote vikibwa yeyote angeshinda ilikua ni lazima afie madarakani kwa awamu ya tano. Tuliaminishwa Lowasa ndio angefia ikulu pekeake ila amewazika wenzie kibao. Mungu amrehemu na kumpokea mja wake[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] Sent from my CPH2239 using JamiiForums...
  5. aliyetegwa

    Kansa ya matiti inammaliza mke wangu nikiwa nashuhudia, sina la kufanya. Sijui kama naweza kusahau hili

    Nimewahi muuguza mgojwa wa Cancer, Mungu awe faraja yako kwa hakika unapitia kipindi kigumu ila kila tunalopambana nalo tunaliweza. Mungu asikuache, Amen.
  6. aliyetegwa

    Biashara ya vifaa vya umeme.

    Wakuu habari, Katika namna ya kuendelea kujitafuta nimekutana na wazo la kufanya biashara ya vifaa vya umeme vya majumbani kama bulbus, wire, main switches, zile pipe za kupitishia nyaya na vingine vinavyo husiana na umeme majumbani. Naomba wanaojua walete michango yao, wagusie mtaji, faida na...
  7. aliyetegwa

    Naomba ushauri kuhusu biashara ya vifaa vya umeme

    Wakuu habari, Katika namna ya kuendelea kujitafuta nimekutana na wazo la kufanya biashara ya vifaa vya umeme vya majumbani kama bulbus, wire, main switches, zile pipe za kupitishia nyaya na vingine vinavyo husiana na umeme majumbani. Naomba wanaojua walete michango yao, wagusie mtaji, faida na...
  8. aliyetegwa

    Nahitaji kiwanja Mwanza

    Kama uko seriously tuwasiliane Nina viwanja maeneo ya kishiri ninaviuza, kama unapenda ukanda huo njoo tufanye biashara
  9. aliyetegwa

    Kataa katakata mkeo kutoa jina la mtoto wenu wa kiume

    Mama atoe majina ya watoto wa kike hivyo hivyo baba atoe majina ya watoto wa kiume
  10. aliyetegwa

    Kwa walio kwenye ndoa tuu, Mme wangu ni moto

    Mambo na fake ID hatariii sana, tuache kufukua makaburi. Wakati tulio nao ni Sasa,
  11. aliyetegwa

    Kwa walio kwenye ndoa tuu, Mme wangu ni moto

    Kwahiyo mkuu sifurahii mapenzi na ndoa, tunaishi wakati uliopo, yaliyopita yamepita tazama yamekua mpya, tunaweza kuomba ushauri kwaajili ya ndugu na jamaa zetu. Leo nimeleta ya moyoni sana, nielewe tuu.
  12. aliyetegwa

    Kwa walio kwenye ndoa tuu, Mme wangu ni moto

    Kwahiyo mkuu sifurahii ndoa yangu, yaliyopita si ndwele tujali yaliyopo na yajayo,
  13. aliyetegwa

    Kwa walio kwenye ndoa tuu, Mme wangu ni moto

    Mtaendelea kulalamika staffs wa wake zenu kuwasaidia, wakati ni Sasa, mpe kila sehemu, mfungulie dunia
  14. aliyetegwa

    Kwa walio kwenye ndoa tuu, Mme wangu ni moto

    Mkeo/mmeo ni baraka hatokaa awe mkosi kwako, kinachofanyika ni kitakatifu mbele za Mungu na Dunia.
  15. aliyetegwa

    Kwa walio kwenye ndoa tuu, Mme wangu ni moto

    Huyu shughuli anaiweza huoni mama J anamtaka afunge duka asubuhi akamhudumie, Sema mama J hajui, awe anafata jamaa wanamalizana hapo hapo dukani
  16. aliyetegwa

    Kwa walio kwenye ndoa tuu, Mme wangu ni moto

    Achana na yaliyopita, tunaweza kuwaongelea wengine, Mda huu naongelea raha Mungu alizonibariki nazo
Back
Top Bottom