Search results

  1. edjizzo

    Ni apps gani za android & iphone unazotumia au kujua

    Kitu walicho kificha kuna mpangilio wa firmware service Kama ukiuzibiti utaweza nunua kitu chochote
  2. edjizzo

    Msaada jamani...Mwenye kuelewa jinsi ya.....

    Tumia infinity best bb5 crack NA download firmware ya Nokia hiyo simu ambayo rm. Nyuma ya simu vyote search google
  3. edjizzo

    Tambua kuwa kuna mananeno ya ugaidi yaliyo fanyiwa utafiti kila lugha ugunduliwa kwa njia yoyote

    jamii tunashindwa tambua kuwa kuna vitu vingi kama kampuni ya goole imekuwa ikipigwa marufuku nchi nyingi kuchunguza siri za watu mpaka sasa ikiwa mshiriki na mzamini wa android.japo itakuwa siri ya watu wengi.ikitumia kampuni kuchanganya watumiaji wengi wa vifaa vya smart kwa sasa.MIMI...
  4. edjizzo

    Tanzania tuwe makini na mipaka ya internet imesha tutapeli na kutuletea matatizo kama haya

    Nijapo na mtu mkweli akubaliki kwao lakini katika sekta ya ulinzi katika interneti kwa tanzania haipo wazi kuku fahamisha wazi ndo maana leo tuna ona siri nyingi ziki vuja ata unacho fanya unashangaa nani kafanya.tuna changamoto gani kwa jambo hili
  5. edjizzo

    Chizicomputer nimerudi kutokana na matatizo ya familia

    Ndugu wa wapenzi nimeamua kurudi kutokana na watu wengi kunishauri nirudi nimekuwa mkombozi wa watu kwenye sekta ya ulinzi japo nime wa saidia sana karikoo dar es salaam maswala ya wizi.lakini sikupata msaada wowote wa kimawazo nimeishia kunufaisha watu,nime amua kubadilika kwa sasa babu ya...
  6. edjizzo

    Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa ktk vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

    Jamani tunakwenda wapi mtu akikataa kuesabiwa maana kila anapo Taka aki yake Ana jinsi hii nchi ya democracy why tunaishi Kama atuna Huru
  7. edjizzo

    server mbili zina uzwa firewall server na hp proliant ml350 g6

    nina server tu sina power supply ndugu
  8. edjizzo

    server mbili zina uzwa firewall server na hp proliant ml350 g6

    MAWASILIANO 0712484995 bei ni nzuri na nafuu
  9. edjizzo

    kwa wale wa vitu vya apple,iphone,ipod na ipad

    chizicomputer sasa anatoa huma ya msaada kwa wale ambao wame lock iphone,ipad,ipod nipigie sio una nibeep 0712484995
  10. edjizzo

    Watu wa IT naombeni msaada.

    chizi computer information yako aiko complete unge nipa detail za tree ya hiyo ninge kusaidia au nipigie simu 0712484995
  11. edjizzo

    Habari njema kwa wale waliokuwa tumia g-tv

    Niki anza kuandika hapa uta nielewa naeleza kueleza vizuri kwa sauti kuliko kuandika samaani
  12. edjizzo

    Voda internet bomba30 ni nomaaaaaaaaaaa

    Haaa yani hizo mbwembwe siku 24 gb 103 wakati mi gb 250 wiki moja chizicomputer kupitia voda
  13. edjizzo

    Habari njema kwa wale waliokuwa tumia g-tv

    Nipigie simu 0712484995
  14. edjizzo

    Msaada walio lock computer zao bios

    Chizi computer kwa wale wenye machine hp dell toshiba samsung fujust nanyengine chizicomputer ata wapa maelekezo kutoa bios lock 0712484995
  15. edjizzo

    Habari njema kwa wale waliokuwa tumia g-tv

    Baada ya kufirisika kampuni ya g-tv watu walishindwa kuvitumia tena vyombo hivyo chizi computer ukitaka kutoa lock ya g-tv ili upate chanell ambazo una zi control we mwenyewe password ni hii 1978 kama ikikataa wasiliana na mi kama una matatizo ya computer software hardware au maulizo -...
  16. edjizzo

    Kwa wale watumiaji wa mac osx 86 kama mimi someni hapa muhimu sana

    kaka uta crash proccessor ya machine yako hizi mac os 86x ziko kwenye project ya kungia kwenye proccessor za intel ikiwa chini ya apple kwa hiyo watu wana force
  17. edjizzo

    Airtel internate na bonus ni dhulumati namba wani!

    kitengo cha oracle database ni kibovu sio hapo tu ata mitandao mengine wana nyima ajira watu ,wanawapa watoto wao na wanao wajua
  18. edjizzo

    Come soon bongo music tune

    Wanajamii forum nimerudi tena niko mbioni kuzindua application ya ngu ya bongo music tune wakati wowote karibu maelezo zaidi ingia kwenye facebook search:bongo music tune
Back
Top Bottom