Tanzania tuwe makini na mipaka ya internet imesha tutapeli na kutuletea matatizo kama haya

edjizzo

Member
Nov 2, 2010
81
1
Nijapo na mtu mkweli akubaliki kwao lakini katika sekta ya ulinzi katika interneti kwa tanzania haipo wazi kuku fahamisha wazi ndo maana leo tuna ona siri nyingi ziki vuja ata unacho fanya unashangaa nani kafanya.tuna changamoto gani kwa jambo hili
 
Wazo lako ni zuri ila uwasilishaji wake utalikosesha wachangiaji kwa kuwa limekosa weledi(rofessionalism) na nyama ya kutosha.
 
Back
Top Bottom