Search results

  1. M

    Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini Tanzania adaiwa kulazimishwa kurejea Brussels

    Do you actually know what sovereignty means? Sycophants like yourself are the reason we are facing a bleak future as a nation.
  2. M

    Nape: Kingunge afanye anachotaka

    Na hapo kwenye GREEN je?
  3. M

    Kubadili matokeo IV 2012: Prof. Mukandala aivimbia serikali!

    Ni busara kusoma kwanza kabla ya kujibu!!!!!
  4. M

    Senator Mutula Kilonzo (Makueni) dies

    Not natural death at all. Circumstantial evidence is leading to poisoning; question is, who is behind this. So many conspiracy theories so far. One is that Harun Mwau could be behind it. For those who follow up Kenyan politics, you may already know that Mwau is one of the African drug barons on...
  5. M

    CRDB Bank: What a terrible experience!

    Go and read again about the financial crisis in the US... And you should not have dismissed the guy because you don't even understand the projected cash flow pattern from the project he is talking about.
  6. M

    US choice is new World Bank chief Jim Yong Kim

    Like in any other organization, the largest shareholder has the last word as to who becomes the CEO; that is the rule in the corporate world, and we should not expect it to be otherwise for the World Bank. The US is the largest shareholder, and therefore has the right to appoint the CEO!!! In...
  7. M

    BCOM na ada ya mitihani ya ACCA

    It's encouraging to see how many people are becoming interested in ACCA. Currently it's the most respected Accountancy profession body globally. Hopefully if we become more numerous we can push for a country office in Tanzania, just like in Uganda and Kenya and many other countries as small as...
  8. M

    Be careful: Bidhaa wanazotuuzia wawekezaji!!!

    Asante kwa taarifa na tahadhari kwa walaji wa apples kutoka South Africa!!! Ulichokifanya ni kizuri kama ulifahamisha uongozi wa Shoprite kuhusu hali hiyo, ili wawe makini zaidi. Lakini mi nauliza ni faida gani tunapata tunapobugia hayo matunda kutoka South Africa, wakati matunda ya...
  9. M

    Mch. Mwasapile vs. Mch. Rwakatale

    I like this topic. Thanks Miss Judith for bringing it up!
  10. M

    Rostam Aziz kuvuliwa Uraia?

    "Haingii akilini mtu azaliwe Iran, akulie Irani, asomee shule za msingi Iran, secondari na vyuo vikuu Uingereza, halafu aje kuwa mwanasiasa Igunga anaezungumza Kiswahili fasaha kuliko Reginald Mengi wa IPP!!" Nimekubaliana na wewe katika hilo!!! Mbona connection inapotea? Kwa kweli simpendi...
  11. M

    Mwamko wa Mabadiliko Misri na Hatima ya Hosni Mubarak

    Ndo maana nimesema binadamu akipoteza matumaini ubinadamu unakaa pembeni!!! Huwezi kumkandamiza mtu kwa miaka thelathini na utegemee utu kubaki!
  12. M

    Mwamko wa Mabadiliko Misri na Hatima ya Hosni Mubarak

    Honestly one can't believe what is happening; it's like watching a movie when you are watching what's unfolding live through Aljazeera. I hope our so-called leaders will learn a lesson or two from Tunisian and Egyptian fiascos. When people are desperate and fed up they can do anything. They...
  13. M

    Binafsi Namkubali Sana Rostam Aziz na sina chuki naye!

    Sina tatizo na maoni yako na nakubaliana na wewe at a certain extent. Ni kweli kwamba Tanzania tumezoea kupambana na dalili za ugonjwa badala ya ugonjwa wenyewe. ni kweli kwamba wengi wetu tunaishia kupiga kelele bila kuchukua, na ni kweli pia kwamba tuna haki ya kupiga kelele ili wale...
  14. M

    Confused Mzungu would like to better understand

    "Logic" and "Tanzania" cannot and should not be in the same sentence!
  15. M

    Mwakyembe amtaja waziwazi Rostam Aziz!

    Sometimes I feel I don't deserve kuwepo kwenye forum moja na watu kama wewe Sikonge!!! Siijui elimu yako lakini kwa kuwa unajua kutumia computer, ni dhahiri kwamba ulienda shule (ingawa sina uhakika na kuelimika kwako). Hivi unawezaje kuchukulia mambo mazito yanayoikabili nchi yetu kimzaha...
  16. M

    Kwako wewe, nani ni Greatest Icon(Greatest Political Figure) wa Afrika?

    It's good you stand to be corrected (about Mandela). I agree with you on the ranking of Nyerere and Nkrumah but I guess hujamtendea haki Mandela. You need to read more of his books and biographies. I don't think he is hyped out of sympathy, but he deserves the hype.
  17. M

    Hatimaye rais wa Tunisia asalimu amri mbele ya nguvu ya umma!

    Ndugu wana JF, Kuna taarifa kwamba rais wa Tunisia aliyekaa madarakani kwa zaidi ya miaka 23 ameachia ngazi kwa shinikizo la waandamanaji. Wananchi walishachoka na maisha magumu yaliyosababishwa na ukosefu wa ajira, huku ufisadi ukiwa umeshamiri. Rais Ben Ali alikuwa ameweza kuingoza nchi hiyo...
  18. M

    Hatimaye rais wa Tunisia asalimu amri mbele ya nguvu ya umma!

    Tunisia: President Zine al-Abidine Ben Ali forced out Police fire tear gas at protesters outside the interior ministry Tunisia's President Zine al-Abidine Ben Ali has stepped down after 23 years in power, amid widespread protests on the streets of the capital Tunis. In a televised...
  19. M

    University of Bagamoyo

    Cheki hii link http://www.humanrights.or.tz/wp-content/uploads/2010/11/UB-Prospectus-_Oct-2010.pdf
  20. M

    Ndugu January Makamba - New website

    Jamani, hata ukimchukia sungura wakati mwingine inabidi ukubali kwamba anaweza kukimbia!!! Na mimi pia nimeipitia website yake na sidhani kama mnamtendea haki mnapomponda hivo. Website imetulia, ukiacha typos kidogo sana. Na amesema it is still work in progress na kwamba version ya kiswahili...
Back
Top Bottom