Search results

  1. K

    Shule yajengwa ndani ya saa nane baada ya Rais Magufuli kuunguruma

    Kuna sehemu Kuna tatizo tena kubwa sana,
  2. K

    Kuna ukweli ukifungiwa na paka chumbani mpambane anaweza kukuua?

    Umesema ukweli mtupu, Paka siyo mnyama wa masihara hata kidogo, akiona hatari ya maisha yake ana uwezo wa kukurarua kwa kutumia mikono yake na meno yake na inaweza kukupelekea hata kifo
  3. K

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Nina Xiamin note 9 ambayo ina 6GB+128GB.Kitu kipo vizuri sana
  4. K

    Mambo 13 usiyoyajua kuhusu kakakuona

    Naomba ufafanuzi kuhusu huyu mnyama anaitwa kobe (tortoise) ,je ana uhusiano wowote au ujumbe pindi anapotokeaa kwnye makazi ya watu? mshana ,Kanungila Karim na wengine
  5. K

    Mbunge Viti Maalum Kigoma, Kiza Mayeye ni Tunu mpya Kigoma

    Bado tuna tatizo kubwa sna la elimu hasa ya uraini kwa watanzania wote. Watz asilimia kubwa inaonekana hawajui kabisa majukumu ya wabunge na hata wabunge wenyewe pia hawajui majukumu yao kabisa. Kazi kubwa ya mbunge ni kutunga sheria na kuisimamia serikali katika mipango na utekelezaji wake kwa...
  6. K

    RC Mnyeti unacheza na moto. Hakuna aliyewahi kujaribu kuwashusha Wachaga akafanikiwa

    Tatizo siyo wachaga bali tatizo lipo kwa mkuu wa mkoa kuanza kubagua. Hii hali siyo nzuri kabisa na anatakiwa kukemewa na kila anayeipenda nchi ya Tanzania kama alivyosema waziri Kabudi akiwa kwenye uzinduzi wa BBI huko kenya. Karne ya 21 siyo ya kusema mm naoka kabila gani?
  7. K

    TAKUKURU na CAG fuatilieni hili la Mkurugenzi wa UCC

    Hii habri imejaa uwongo na wivu mkubwa kwa wahusika, salary scheme ya UCC ipo wazi kwa wafanyakzi wote, kuhusu Interview sioni tatizo maana kama ilifanyika maamuzi ni ya wajumbe na siyo ya mwenyekiti labda kdg kuhusu vyeti vyake lkn pia siyo lazima maana kama ana hiyon degree bado anastahili...
  8. K

    Yule mama aliyekuwa diwani jijini Arusha amelalamika walikuwa wanatishwa na kutukanwa matusi ya nguoni. Je, Mbowe dikteta?

    Mkuu wanasema siasa ni kubishana kwa hoja kwa kutumia sayansi ya siasa lakini hebu angalia neno ulilosema ambalo nimepigia mstari? Unaweza kusaidia jeshi letu kupata uhalisia ?? Nchi hii ni yetu zote tusaidiane pale panapohitajika msaada lakini kama huwezi kuthuibitisha basi mada yako iondolewe...
  9. K

    Tuhuma za rushwa ya ngono kwa madaktari bingwa Hospitali ya Rufaa ya kanda Mbeya

    Hili lalamiko Unaweza kuliwazilisha kwa wizara Afya chini ya waziri Ummy Mwalimu, nafikiri litafanyiwa kazi mara moja .Haya maswala ya sexual harassment hayatakiwi kabisa kwenye maofisi ya serikali maana yanawakatisha tamaa wanafunzi wengi ktk jamii
  10. K

    Bei ya vyakula vya mahoteli/migahawa ya njiani kwa wasafiri wa mabasi iangaliwe na mamlaka husika

    Tatizo siyo hizo migahawa bali tatizo hali ni mbaya mifukoni mwa watanzania wengi maana hizo bei bado zinaonekana za kawaida tu ni sawa na usd 3 lakini kwa mwananchi anayeishi chini ya dola moja kwake ni habari mbaya sana kwake. Hali ikiwa nzuri kimaisha wala hutaweza kufikiri hayo yote. Maisha...
  11. K

    Sherehe za Uhuru 9/12/2019 kufanyikia Mwanza, wenye maneno anzeni kuisema Kanda ya Ziwa

    Yote kheri maana si lazima iwe Dar lakini kama haingiliii taratibu na sheria zetu ingefanyika Makao makuu ya nchi Dodoma ingependeza zaidi
  12. K

    Viva Rais Magufuli Viva Mwakinyo

    Ushindi wa Mwakinyo utailetea shida sana kamati za maandalizi ya michezo ya ndondi kwa Tanzania siku za usoni kuwapata wanandondi wengine kuamini na kuja Tanzania maana ameshinda kwa kishindo sana yaani unaweza kusema ni kama uchaguzi wa serikali za mitaa alivyoshinda CCM
  13. K

    Gesi yaokoa mamilioni ya pesa za madereva

    Ukifanya hesabu vizuri kwa bei ya gas utagundua ni ghali hata kuliko petroli, na pia aliyeandika makala hii amekaa kibiashara zaidi kuliko uhalisia mfano kwa huo mfano wa ulaji wa mafuta IST kulinganisha na matumizi yake kwa upande wa gas. Hii GAS imepatikana nchini kwetu lakini nikilinganisha...
  14. K

    Mliotembea nje ya nchi, huko nako Wanajeshi hutoa adhabu kali hovyo kwa raia wanaokosea wawapo eneo la kambi ya Jeshi?

    kwa upande wa Asia mfano China,Singapore,Japan,Russia,India,Malaysia,Thailand etc wanajeshi ndiyo rafiki kwa mwananchi wa kawaida, na huwezi kuwaona ovyoovyo kama huko nchi za kusini mwa janga la sahara. Linapotokea janga au majanga mfano mafuriko, milipuko, matetemeko ndiyo utawaona wakitoa...
  15. K

    Msemaji wa Serikali: Serikali imeelekeza, imeonya na kusamehe vya kutosha. Sasa kuvichukulia hatua vyombo vya habari vinavyosambaza taarifa za uongo

    Ni kweli uandishi wa habari ni taaluma na ina miiko ,taratibu zake ,tunaomba avishughulikie/au awashughulikie wote ambao wanaenda nje ya maadili yao ya kazi bila upendeleo .Bila kubagua itakubalika kabisa lakini ukionekana uonevu kwa baadhi ya media itakuwa haina maana . Kuna magazeti yanashinda...
  16. K

    Vita ya uenyekiti na ngazi nyingine kikanda zinavyominya demokrasia ndani ya CHADEMA

    Kama Mbowe anangangania uenyekiti basi kuna hatari na siyo vizuri kabisa kwa chama lakini kupingana kwa waliochukua fomu kwenye nafasi nyingine ni jambo zuri na hiyo ndiyo tunasema demokrasia. Demokrasia ni kusema kwa mabaya na mazuri ktk kutetea nafasi lakini siyo kuwa kuna nafasi ambayo mtu...
  17. K

    Viongozi wa Vyama vya Upinzani kushindwa kutoka Madarakani sababu ni kazi nzuri au kuna jambo la Binafsi?

    Watu wanatakiwa kuchagua taasisi na siyo watu fulani, sijajua marekebisho ya vyama vya siasa kama hayakuongelea ukomo wa uongozi. Tunapaswa kuwa na ukomo wa uongozi kwa sekta zote na mihimili yote ili kutoa nafasi kwa vijana kuendeleza taasisi mfano tunatakiwa kuwa na ukomo wa Ubunge...
Back
Top Bottom