Search results

  1. Ngho

    Sensa yaibeba Simba idadi ya mashabiki

    Baada ya kumsikia afisa Habari wa Yanga Ndg. Kamwe akitaja IDADI ya mashabiki wa team yake kuwa ni kama ml. 20, na takwimu zilizosomwa Leo na Mh. Rais Samia kuwa waTanzania tupo ml. 61, hii tafsiri yake kuwa Simba ina fans wanaokaribia mil. 40. Hii imechagizwa na idadi kubwa ya Watanzania...
  2. Ngho

    Mhilu haya magoli yatampa confidence

    Nimekuwa naamini kama ni mchezaji nzuri kwenye team na anahitajika mno kwa local players, amekuwa akifanya kila jitihada na kudeliver kile mchezaji anapaswa kwa team yake. Ukata wa MAGOLI kulimnyima hali ya kukjiamini, na lilikuwa linasubiriwa kwa hamu kwake yeye, bench LA ufundi na wachezaji...
  3. Ngho

    Serikali itende haki

    Karibuni kwenye symposium wajumbe, Nimeona kuna baadhi ya vitu SERIKALI inafanya ambavyo vinamuumiza moja kwa moja mwananchi. Mathalani suala la Tozo za simu, Kodi ya nyumba kupitia LUKU, na baadhi ambavyo yanapangwa yenye lengo la kujinufaisha YENYEWE huwa hawazingatii au kuhofia Mzigo kwa...
  4. Ngho

    Waandishi wanamshindwa Wallace Karia?

    Ni siku tangu Wallace Karia ametangazwa kama mgombea pekee ambaye amekidhi vigezo ili kuingia kwenye kinyang'anyiro cha Urais wa TFF kwa Uchaguzi ujao, na imeelezwa kuwa hatopigiwa kura bali ATATHIBITISHA tu. Sina tatizo kama amekidhi vigezo au la! Hoja yangu inaenda kwa waandishi wa habari na...
  5. Ngho

    Kinachoendelea Bungeni ni wale wa mbeleko VS wabeba mbeleko

    Baada ya kifo cha mpendwa wetu takriban mwezi mmoja sasa kumetokea na sintomfahamu kubwa BUNGENI miongoni mwa MPs, hali ambayo sio AFYA kwa taifa letu. Tukumbuke kuwa hili ni Bunge la budget, lakini anasimama mbunge wa jimbo fulani kuchangia Hotuba ya wizara husika lakini hoja inajikita katika...
  6. Ngho

    Hii elimu bure ni changamoto kwa walimu hata wazazi

    Kwanza niipongeze serikali kwa kuanzisha elimu bure, kwani imekuwa chachu na hamasa kwa wazazi kuona kama gharama zinapungua kwa kumsomesha katika mfumo huu wa elimu bure. Jambo ambalo sio sahihi. Hii elimu bure ni changamoto kwa walimu hata wazazi, na imeshindwa ku-guarantee ubora wa elimu yetu...
  7. Ngho

    Hii ya Kagere ndio KUBWA KULIKO 900m

    Yanga f. c wamekusanyana kutwa yote na ile kubwa yao wakapata 900m, wenzao MTU mmoja tu anawaletea KUBWA KULIKO yaani 1.2billion. Sunche na Kapeto bhana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
  8. Ngho

    Kwa Muago Huu wa Stars Tupo Serious?

    Tumeona team nyingi zinazoenda Afcon zikiagwa kwa uzito sana, sisemi halijafanyika hilo hapana ila je, tumekosa viongozi wote wa juu kwenye hili? Wenzetu wengi wameagwa na Viongozi wakuu wa nchi zao, mbona wa kwetu hawajalipa uzito suala hili? Tuna Rais, Makamu wake, Waziri Mkuu, Spika na...
  9. Ngho

    Huu ni uonevu Mkubwa na haikubaliki, wanafunzi wote wa wilaya ya Masasi wapelekwa Arts

    Kwa mara nyingine tena Serikali ya Tanzania imeingia kwenye kashfa mzito na inayozidi kudhihirisha kwamba haiko makini na suala la elimu. Katika hali isiyokuwa ya kawaida, katika wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano kutoka shule za sekondari wilaya ya Masasi mkoani Mtwara...
Back
Top Bottom