Hahahahaaa!!!wala hujakosea kabisaa!!! I am guilty as charged aiseee!!!!sijui ni kwa nini ila its like i need to see who is passing me and what doea he/she look like....hahahahaaaa!!!we will make good detectives aiseeee
Think about it kaka... to me this is a blessing in disguise....haya matokeo yasaidie kuwafanya ukawa wajipange zaidi katika round zilizobaki za mpambano....i am not discouraged at all,in fact am happy with this results....
Uchochoro mmoja hivi amazing,kabla ya hapo tulikutana kwa daladala tukajikuta tumeshuka kituo kimoja,tukavuka barabara kwa kuongozana kwenda kupanda daladala nyingine,tunashuka tena kituo kimoja na kuongozana through that uchochoro,kuja kugundua baadaye kumbe ni jirani yangu....
Ambacho nakishuhudia kwa waamini wengi hivi sasa ni kuwa wanasahau kuwa unapoomba inabidi uwe tayari pia kusikiliza sauti ya Mungu.....usiwe na majibu yako kichwani....Mungu anapokupa jibu lazima uwe tayari kusikiliza na pia uwe tayari kufanyia kazi!!!haijalishi mazingira yanakuonyesha nini kama...
Jaribu kupata godoro jipya lenye springs,inawezekana ukaweza kupata suluhu ya shida yako,pia tumia supplements za calcium huenda una upungufu wa calcium mwilini...lakini pia ukiona inazidi nenda kwa hospitali ukapate kipimo sahihi kuona shida ni nini.
Naomba mnikaribishe humu ndani,nimekuwa nafuatilia mijadala ya humu ndani na mm nimeamua kujiunga...naamini nitaendelea kufaidika kama matumaini yangu yalivyo kuhusu kusanyiko hili....
Asanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.