Search results

  1. Bedner

    Nitajie Uzito na Urefu wako ili nikwambie Hali yako ya Lishe

    Urefu 5.8 ft Uzito 86kg Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Bedner

    2020 Uchaguzi utakua si wa vyama kwa vyama bali ni wananchi na serikali ya CCM

    Acha kusoma uisaidie familia yako wewe hangaika na siasa uone
  3. Bedner

    LAP TOP GANI NI NZURI KULIKO ZOTE

    Naombeni ushauri juu ya hii kitu coz nataka kununua LAP TOP ila cjajua ni zipi nzuri kuliko na yenye sauti zaidi bila kuweka spika za nje
  4. Bedner

    Sura halisi ya marehemu Kinyambe

    R. I. P MEN
  5. Bedner

    Vifahamu vyeo vya askari polisi wa Tanzania na alama zake

    DIGP-DEPUTY INSPECTOR GENERAL OF POLICE
  6. Bedner

    Unga wa mahindi (dona) hatari kwa afya ya binadamu

    Dona ndio kila kitu siachi kula dona milele
  7. Bedner

    Tego la usinga; uchawi uliotoweka

    Laaahaulaaa kama kimebaki kikojoleo tuuu bora kukikata kabisaaaaa
  8. Bedner

    Wanaume wa Dar njaa sana, Arusha/Moshi na Mwanza shibe tupu

    Karibu Moshi bhana ....Pombe bila nyama nyama haiendi kabisa kwanza unawahi kulewa
  9. Bedner

    Nishaurini kuhusu Nissan Pathfinder

    Spare Parts zake nazo zipo juu hivyo ujiandae
  10. Bedner

    Akina dada huu si uungwana

    Amefanya dili
  11. Bedner

    Kassim Kayira wa BBC ahamia Azam Media

    Azam wapo vizuri,jana mshkaji baada ya dira ya dunia saa 21:30 hrs aliaga rasmi na ndio ilikuwa taarifa yake ya mwisho kusoma akiwa BBC
  12. Bedner

    Uhusiano kati ya kitovu na nguvu za kiume

    Kuwa makini na hilo jambo usifanye mchezo kabisa,hata ikiwezekana mwambie Shemeji amzungushie kitambaa ili kitakapotoka kisiangukie kwenye kijiji
  13. Bedner

    Nimevurugwa sina hamu na mwanamke

    DNA ndio kiboko ya msaliti kaka,kumbuka msaliti hana alama !
  14. Bedner

    Bora kuwa na uhusiano na mke wa mtu kuliko mwanafunzi

    Hakuna penye afadhali kaka bora uweke ya kwako ndani
  15. Bedner

    Usidhani wewe ndo mzuri pekee (mwanamke)

    Ndio maana ule msemo wa mwanamke ni tabia unaendelea kutawala.
Back
Top Bottom