Search results

  1. Kinjekitile junior

    Ni wakati gani mgombea atatangazwa amepita bila kupingwa

    Wakati Uchaguzi Mdogo katika Jimbo la Liwale na kata 37 ukiwa katika hatua ya kampeni, katika kipindi hiki msamiati wa mgombea kupita bila kupingwa umekuwa ukiibua sintofahamu kwa wadau wengi wa uchaguzi. Hali hii imetokana na kukosekana kwa ufahamu wa kisheria juu ya maana ya kupita bila...
  2. Kinjekitile junior

    Sababu za baadhi ya wagombea wa upinzani kufyekelewa mbali!!

    Wakati Uchaguzi Mdogo katika Jimbo la Liwale na kata 37 ukiwa katika hatua ya kampeni, msamiati wa mgombea kupita bila kupingwa umekuwa ukiibua sintofahamu kwa wadau wengi wa uchaguzi. Hali hii imetokana na kukosekana kwa ufahamu wa kisheria juu ya maana ya kupita bila kupingwa, mambo...
  3. Kinjekitile junior

    Changamoto za uteuzi wa wagombea na matakwa ya kisheria

    Uteuzi wa wagombea ni moja ya hatua muhimu katika mchakato wa Uchaguzi na katika chaguzi ndogo zilizofanyika hivi karibuni na umekuwa ukiibua changamoto kwa baadhi ya vyama vya siasa. Changamoto hizo zimejitokeza kuhusiana na sifa binafsi za mgombea, masharti ya uteuzi wa wagombea na ujazaji na...
  4. Kinjekitile junior

    Yale yale, Hivi mgombea akishindwa kurudisha Fomu ya uteuzi ni kosa la nani?

    Wadau habari za majukumu, nimesoma na kupitia taarifa iliyotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuhusu Jimbo la Liwale na Kata 37 nikagundua kuwa baadhi ya wagombea wa vyama vya Upinzani wameshindwa kurejesha fomu zao za uteuzi kutokana na sababu mbalimbali. My take. Vyama vya Siasa...
  5. Kinjekitile junior

    NEC yathibitisha mgombea wa CCM kwenye Jimbo la Korogwe Vijijin kupita bila kupingwa

    Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dkt. Athumani Kihamia. Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dkt. Athumani Kihamia amethibitisha kwamba mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye Jimbo la Korogwe Vijijini amepita bila kupingwa. Akizungumza...
  6. Kinjekitile junior

    Kumekucha Uchaguzi mdogo wa Madiwani, NEC yasambaza vifaa vya uchaguzi huo

    Tazama video hii uone jinsi NEC ilivyosambaza vifaa vya uchaguzi mdogo
  7. Kinjekitile junior

    Mawakala wa Vyama vya Siasa wanaofanya vurugu kwenye vituo vya Kupigia Kura wanajielewa?

    Mimi kwa uelewa wangu Wakala wa Chama cha Siasa kwenye Uchaguzi ni mtu anayeteuliwa na chama chake na kuwasilisha jina lake Tume kwa ajili ya kusimamia maslahi ya chama chake na mgombea wake wakati wa kupiga Kura, kuhesabu Kura na Kujumlisha. Wakala anayeteuliwa kwa kazi hii anakula kiapo cha...
  8. Kinjekitile junior

    Hivi Mawakala wa Vyama vya Siasa wanaofanya fujo vituoni wanajua wajibu wao?

    Mimi kwa uelewa wangu Wakala wa Chama cha Siasa kwenye Uchaguzi ni mtu anayeteuliwa na chama chake na kuwasilisha jina lake Tume kwa ajili ya kusimamia maslahi ya chama chake na mgombea wake wakati wa kupiga Kura, kuhesabu Kura na Kujumlisha. Wakala anayeteuliwa kwa kazi hii anakula kiapo cha...
  9. Kinjekitile junior

    Hivi ni kwanini wanasiasa wanatumia lugha za kuudhi?

    Ndugu wanajamvi nikiwa mfuatiliaji wa mambo ya Siasa zetu za Tanzania huwa nashangazwa sana na kitendo/vitendo vya wanasiasa kutoa lugha za kuudhi hasa wakati wa Mikutano ya Siasa na Kampeni. Wengine hufikia hatua ya kutoa matusi ya nguoni kwa washindani wao na Pindi wanapochukuliwa hatua na...
  10. Kinjekitile junior

    Waliosema Dimani kulikuwa na fujo Tazameni Video hii

    Leo wakati naperuzi kwenye mitandao ya kijamii nimekutana na video hii ya Jaji wa Rufaa Mhe. Semistocles Kaijage, Mwenyekiti wa NEC alipokuwa anatembelea vituo vya Kupigia Kura jimbo la Dimani Zanzibar pakiwa shwari kabisa, kilichonifanya nijiulize ni kelele za baadhi ya watu kuwa palikuwa na...
  11. Kinjekitile junior

    Mkurugenzi wa Uchaguzi ajibu taarifa za Upotoshaji matokeo ya Dimani

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeeleza kuwa Kura 234 ziliharibika katika Uchaguzi mdogo wa Ubunge katika jimbo la Dimani, Zanzibar Januari 22, 2017. Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Bw. Ramadhan Kailima amesema kuwa Wapiga Kura walioandikishwa katika jimbo la Dimani...
  12. Kinjekitile junior

    Mkurugenzi wa Uchaguzi, Kailima Ramadhan ajibu taarifa za upotoshaji matokeo ya Dimani

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeeleza kuwa Kura 234 ziliharibika katika Uchaguzi mdogo wa Ubunge katika jimbo la Dimani, Zanzibar Januari 22, 2017. Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Bw. Ramadhan Kailima amesema kuwa Wapiga Kura walioandikishwa katika jimbo la Dimani...
  13. Kinjekitile junior

    Vyama au Wagombea watakaokiuka maadili Kampeni za Uchaguzi mdogo kuchukuliwa hatua

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewataka wagombea na Vyama vya Siasa vinavyoendelea na kampeni za Uchaguzi mdogo wa Ubunge na Madiwani kufanya kampeni za kistaarabu zinazozingatia maadili ya Uchaguzi ya mwaka 2015 na kwamba Chama au mgombea atakayekiuka maadili hayo atachukuliwa hatua. Kauli...
  14. Kinjekitile junior

    Vyama au Wagombea wanaokiuka Maadili kampeni za Uchaguzi mdogo kuchukuliwa hatua

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewataka wagombea na Vyama vya Siasa vinavyoendelea na kampeni za Uchaguzi mdogo wa Ubunge na Madiwani kufanya kampeni za kistaarabu zinazozingatia maadili ya Uchaguzi ya mwaka 2015 na kwamba Chama au mgombea atakayekiuka maadili hayo atachukuliwa hatua. Kauli...
  15. Kinjekitile junior

    Wasimamizi wa Uchaguzi Mdogo zingatieni Sheria,Kanuni na Maadili; Msikubali kuyumbishwa na mtu

    TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI imewataka Wasimamizi wa Uchaguzi mdogo wa Udiwani katika Kata 20 za Tanzania Bara na Ubunge katika jimbo la Dimani Visiwani Zanzibar kuzingatia Sheria, Kanuni na Maadili ili Uchaguzi huo uwe Huru na wa Haki. Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya...
  16. Kinjekitile junior

    Wasimamizi uchaguzi mdogo zingatieni sheria, kanuni na maadili, msikubali kuyumbishwa na mtu

    TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI imewataka Wasimamizi wa Uchaguzi mdogo wa Udiwani katika Kata 20 za Tanzania Bara na Ubunge katika jimbo la Dimani Visiwani Zanzibar kuzingatia Sheria, Kanuni na Maadili ili Uchaguzi huo uwe Huru na wa Haki. Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya...
  17. Kinjekitile junior

    Taarifa kamili kuhusu adhabu ya Dk. Mwaka na wenzake hii hapa kuhusu tiba mbadala na dawa asili

    WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO BARAZA LA TIBA ASILI NA TIBA MBADALA TAARIFA KWA UMMA 12/07/2016 UTANGULIZI. Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala lilianzishwa kisheria chini ya Sheria ya Tiba Asili na Tiba Mbadala Na. 23 ya Mwaka 2002- Sura 244. kwa...
  18. Kinjekitile junior

    Muda wa Siasa umeisha, kila mtu afanye kazi.

    Bila kupoteza muda Watz ni muda wa kufanya kazi masuala ya Siasa za vijiweni hayana nafasi katika kipindi hiki! Ukiona mtu anaendeleza malumbano ya kisiasa hajui analolifanya! Huu sio muda wa kupiga domo ni muda wa kufanya Kazi, cha ajabu utawakuta baadhi ya Vijana bado wanaota wakiwa wanatembea...
  19. Kinjekitile junior

    Dhana ya Mabadiliko haijaeleweka vizuri: Humphrey Polepole

    Sasa yupo Radio Uhuru anafafanua maana ya mabadiliko, anatoa mifano kupitia watu mbalimbali akisema hauwezi kuwa na kiongozi wa dini mtenda dhambi ukategemea atawafikisha waumini wake mbinguni, huwezi ukawa na mkulima mvivu ukatwgemea kuvuna mazao mazuri na mwengi, Polepole anamaanisha kuwa kuna...
  20. Kinjekitile junior

    CHADEMA kuweni makini na mzee Kingunge

    Naomba kuuliza uanachama wa huyu anayejiita Mzee asiye na Dini wala chama, Mzee Kingunge Ngambare Mwiru. Nauliza hivi kwasababu nakumbuka kwenye mikutano mbalimbali aliyoifanya ukiwemo ule wa kumtafutia wadhamini Mhe. Lowassa kabla ya kuanza kwa kampeni Arusha huyu mzee alilipuka sana...
Back
Top Bottom