Kinjekitile junior
JF-Expert Member
- Apr 20, 2015
- 4,404
- 581
Leo wakati naperuzi kwenye mitandao ya kijamii nimekutana na video hii ya Jaji wa Rufaa Mhe. Semistocles Kaijage, Mwenyekiti wa NEC alipokuwa anatembelea vituo vya Kupigia Kura jimbo la Dimani Zanzibar pakiwa shwari kabisa, kilichonifanya nijiulize ni kelele za baadhi ya watu kuwa palikuwa na vurugu , nimeona Mawakala wakiulizwa maswali na Mwenyekiti wa NEC na kujibu wenyewe kuwa hakuna tatizo, hivi hawa wanaopika taarifa za uongo Za kupotosha huwa wanawaza nini? kweli za kuambiwa inabidi unachanganya na zako