Na sisi watu wa Kigoma Manispaaa tutasema NEC ni tawi la ACT - Wazalendo mbona manispaa yote tumekomba Mbunge na madiwani wake ni full ACT wazalendo!
Tatizo la kuishi kwa hisia ni baya sana ni sawa na mwizi akiona askari polisi anakua na hofu muda wote! Nec inafanya kazi yake kwa mujibu wa sheria hizo hisia zako baki nazo mwenyewe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.