Acha Tu! wananchi na wanafunzi wamechukua sururu na kuanza kuchimba barabara askari wakapiga risasi juu na kuanza kuporomosha mabomu mfululizo watu wakapiga mawe sana hadi askari wamekimbia so tunajaribu kuona kama watarudi kwa gia gani.
Kama ulikua na ratiba ya kwenda bagamoyo acha kabisa.
Watoto wa shule ya msingi wamelala barabarani baada ya mwenzao mmoja kugongwa na gari na inasemekana amefariki dunia, hvyo kuanzia Bunju A Bunju B kuendelea ni balaa hata baiskeli hakuna wameshika mifagio na magongo na raia wako makini...
wakuu!
msaada kwa mwenye cd za program muhimu kama windows 7,xp,8 obunt,antivirus na zingine muhimu anisaidie nimepoteza poch ya cd kwenye harakati za mjini. kama unaishi bagamoyo road na maeneo karibu na hayo kama ubungo manzese mwananyamala tegeta boko bunju mapinga ntakufuata maana kazi...
Its Funny!
Sio kila siku mziki, siasa, mapenzi. Sometimes mazoezi ya sauti yausike JF:
~Wote tuseme
"umekula maharage ya wapi" kwa sauti ya Gwajima.
~Wote tuseme
"hoooo" kwa sauti ya Rick Rossee pia.
~Wote tuseme
"ivo ivo" kwa sauti ya Erick.
~Wote tuseme
"ukiipenda sura...
nakupongeza kwa utunzi mzuri pia akiri yako inakutuma kila asemacho mzungu ni ndio tu kusema hapana athibitishe hiyo ndio aina ya watu tunao waitaji! na nadhani umeona upepo ulivyo so unajaribu kupunguza kasi. hongera na ahsante
#MUHONGO4LIFE
nchi inaitaji watafiti,
nchi inaitaji wanasayansi,
nchi inahitaji mtu anaejua tulipotoka tulipo na tunapokwenda.. si mwingine ni profesa s.muhongo ntampigia kampeni huyu jamaa japo sijawai kuwaza kitu kama hicho kabla.. na ntamuombea pia MUNGU amnyooshee.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.