Search results

  1. M

    Nimebaini: Siku hizi watu hawatumii tena jina Tanzania bali wanatumia Tanganyika

    Nina kuomba uliza swali moja moja nitakujibu yote
  2. M

    Bandari haziwezi kuendeshwa kimuungano

    Andika moja moja, nipo hapa kukujibu.ni hoja nyepesi sana
  3. M

    Spika Tulia anasema wamepitisha makubaliano na sio mkataba. Swali langu kwani makubaliano sio mkataba?

    Alicho Maanisha Spika hichi hapa Yaani kilicho sainiwa ni MOU. MOU ni Memorandum of Understanding" MOU ni hati isiyo ya kisheria inayotumiwa katika mazingira ya kibiashara, kidiplomasia, au kisiasa kuelezea uelewa wa pamoja na makubaliano kati ya pande mbili au zaidi. Inaonyesha nia ya...
  4. M

    Wabongo wengi wanaojinadi ni hackers huwa ni kelele tu, kwenye vitendo ni sifuri

    Shida ni dhania hacker ni genius wa computer kitu ambacho sio kweli ?? Hata wewe unaweza kuwa hacker
  5. M

    Mjue CAG na hatua ambazo Serikali ya Rais Samia imeshachukua

    Na Mwandishi wetu Baraka Mussa (Mjumbe wa Halmashauri kuu CCM Wilaya ya kigoma mjini), Kwanza nianze kuwasalimia Kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania? Pia ningeomba Vijana wa ACT wasome andiko hili vizuri ili itawasaidia kuachana na maandamano yao ya kipuuzi,Pia andiko hili...
  6. M

    Bingwa wa 'software' anahitajika

    Million mbili ni ndogo za kutaka kutengenezewa software software mfano wa adobe... Hapo andaa milion 70
  7. M

    Mrejesho: Uzi wangu wa kuomba kazi

    Kama upo dodoma karibu sana
  8. M

    Epson Printer L3060 Reseter Set up Keys

    Nipo hapa naweza kukusaidia
  9. M

    Kwanini wananchi hawana imani na awamu ya 6, kila kitu wanahisi wanapigwa?

    Mimi nina imani tele na serikali hii ya awamu ya sita
  10. M

    Nimeingia Dodoma; mtaji wa milioni nne naweza kufanya biashara gani?

    Nimekuja kuomba ushauri kwenu nina mtaji wa milioni nne naweza kufanya biashara gani Dodoma. Nina ujuzi wa computer na uzoefu katika kutengeneza computer hadi chip level, kutengeneza simu sinauzoefu ila nimeshapata mafunzo kidogo. Kichwani kwangu nina mawazo matatu moja kufungua mgahawa...
  11. M

    Wanawake wanamaliza sana hela Kwa bodaboda

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  12. M

    Hapa bongo wengi wanaojiita hackers ni show off kwajili ya attention, hawajafika hizo level na ni watupu hawajui kitu.

    Mnaelewa hacker ni nini ? Hacker sio genius wa computer na programming , hacker ni zaidi ya hapo
  13. M

    Mtu mwenye matokeo haya form four utamshauri asome nini?

    Diploma of pharmacy anasoma aombe chuo hata kama physics ana F
  14. M

    Naomba msaada kwa wenye kufahamu zaidi nahitaji kuagiza mzigo AliExpress

    Nenda posta utapewa utaratiibu. Ila vitu vichache ni majina yako, namba ya Nida na malipo Tsh 48000/. Pili fuata maelekezo ya mdau hapo juu, amekuambiwa unaweza kutumia sanduku la posta la jirani yako au taasisi iliyo jirani yako.
  15. M

    Natafuta mtaalam wa SPSS

    Mkuu mbona SPSS ni rahisi mno, jifunze ule dili wewe mwenyewe
  16. M

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Sipati confirmation kama maombi niliyojaza yame fanikiwa au la!, nimejaribu mara tatu lakini sipati confirmation
  17. M

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Samahani mkuu, Mimi nimejaza sehemu zote kasoro services program ila kila nikisubmit sipati ujumbe kama maombi yangu yamekwenda au la, isipokuwa yanapotea , nimerudia mara tatu hali ipo vile vile sipati uthibitisho wowote. Mitandao mingine ujumbe unakuja your application is succefull sent?
  18. M

    Toshiba sattelite OS solution

    Mkuu jaribu kuangalia RAM, bios, powersupply na graphuc card( kwa upande wa hardware ) test hizo kama zinafanya kazi vizuri. Halafu kwa software (bios setting) jaribu kufanya bootloader? Run(kimbiza) command zifuatazo baada ya hapo kisha piga windows tena. "bootrec /fixmbr bootrec /fixboot...
Back
Top Bottom