Search results

  1. sheremaya

    Nahitaji kuongeza mwili (Kunenepa)

    Hiyo dawa itaje kwa faida ya wengine
  2. sheremaya

    Je, ni sahihi mzazi kumuuzia mwanae kiwanja?

    Yupo sahihi wewe lipia pesa kama kiwanja umekipenda,kama hujakipenda nenda kanunue sehemu nyingine
  3. sheremaya

    Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

    Muhasibu ana kesi ya kujibu
  4. sheremaya

    Rambo nyeusi zimetoweka zimekuja rambo za blue 😌

    Licha ya kuwa vina rangi ya blue lakini bado ni transparent...kula chuma iyo
  5. sheremaya

    BoT: Unaporudishiwa fedha chakavu usikatae

    NMB hawana mambo mengi hata kipande kama namba zote zimekamilika na kusomeka vizuri wanapokea
  6. sheremaya

    Kuna mtu kachana na kiwembe cover la pikipiki yangu nimetafakari bila majibu

    Unavyoenda kwa amina usiwe unaenda na pikipiki yako mkuu ipo siku watakuchana wewe
  7. sheremaya

    Wataalamu wa PC msaada tafadhali

    Inategemea unaifanyia kazi gani, cha kwanza kabisa punguza mwanga ni kama simu tu ukiweka mwanga mkubwa usitegee kama itakaa na charge sawa na simu iliyowekwa mwanga mdogo
  8. sheremaya

    Zingatia Kanuni za kuanza kuoga ili kuepuka vifo vya ghafla bafuni

    Kwaiyo na wale wanaoenda kuogelea inatakiwa waanze na miguu.. Wale ndugu zetu vijijini kule wananyeshewa na mvua wakiwa shambani inabidi wawe wanageuka miguu kwanza
  9. sheremaya

    Bodi ya mikopo kama hamkuwa na budget ya kutosha bora msingeongeza bumu au kuwapa mikopo diploma

    Roho mbaya haijengi mkuu..hao diploma wamekwambia wanataka kwenda kusoma degree..keki ya Taifa kuleni wote
  10. sheremaya

    Mpira umekuwa dini ya Watanzania umetufanya kuwa wapumbavu zaidi

    Unafikiri ni kwa nini kocha hakumuingiza boko mapema sana..karibu church
  11. sheremaya

    Bodaboda badilikeni, mnaboa

    Kwaiyo wakikwambia oiii brother twende nawewe unawajibu BASI NENDA kama jina la ID yako hapo.. Dawa yao tembea kikakamavu, vaa sura ya kazi hutaona wanakusogelea.
  12. sheremaya

    Ndugu Mtanzania unalijua kundi lako la damu?

    Ungetaja hizo gaharama ambazo ni ndogo na kunakopatikana hicho ili kupunguza maswali, pia ungeweka na faida ya kujua kundi la damu
Back
Top Bottom