Search results

  1. Mnyongeni Mnyonge

    House for sale Kigamboni geza nyumba ya kisasa

    Nyumba ina vyumba vinne viwili master , sitting, danning na jiko . Nyumba ina uwanja mkubwa Na ipo karibu na barabara ya rami dk 5 Nyumba ina fence ya kuingiza gari Bei milion 65 Maongez yapo kidogo Call 0718 606739 0685752509 Ipo karibu na barabara ya rami
  2. Mnyongeni Mnyonge

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kigamboni Kisarawe 2 Miguu 25*30

    Kiwanja kizur kipo location nzuri. Kima miguu 30*25 Bei milion 10 maongez yapo kidogo Call 0718 606739 0685 752509
  3. Mnyongeni Mnyonge

    Plot4Sale Beach Plot for sale Kigamboni Darajani

    Beach plot for sale Kigamboni Darajani Eneo linaukubwa wa heka 2 Bei milion 200 Eneo ni Skwata Kwa maelezo zaid call 0718606739 0685752509 Full documents
  4. Mnyongeni Mnyonge

    House4Sale House for sale Kigamboni Mikadi bei milion 120

    Nyumba ina vyumba 3 kimoja master , sitting na daning pamoja na jiko Nyumba ina jiko la nje na ndani . kisima cha maji na umeme. .nyumba ina fence kubwa na nyumba ni mpyaaa Ukubwa wa kiwanja square mita 850 Dk 10 kutoka barabara ya rami Bei milion 120 Kwa maelezo zaidi piga Call 0718606739...
  5. Mnyongeni Mnyonge

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kigamboni Vikunai vinatazamana na maghorofa ya NSSF

    Viwanja vuzur vipo karibu na barabara kigamboni Darajani Vinatizamana na daraja pamoja na bahari Viwanja vinaukubwa wa square mita 400 Bei milion 20 Kwa maelezo zaid piga 0718606739 0685752509 Kuona viwanja ni bureeeee kabisa.
  6. Mnyongeni Mnyonge

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kigamboni Vikunai vinatazamana na maghorofa ya NSSF

    Viwanja vizuri ambavyo vipo karibu na barabara ya rami tunauza kuanzia mita 20*20 milion 10 Mita 20*15 milion 8 Viwanja vyote vina documents na vyote vinafikika Kwa maelezo zaid piga simu 0718606739, 0685752509
  7. Mnyongeni Mnyonge

    Upekee wa Mlima Kilimanjaro

    okay nmekupata ndo nasikia kuna sehem ni nyasi fupi tuu zinasadifu hali ya kisavana kabisaaaaaaaaaaa
  8. Mnyongeni Mnyonge

    Safari yangu ya dhahabu Botswana

    yaan kule kwenye story ya mafuta ilikua story haijaanza aki watu mnapenda kutuchosha bora niende kwa Da'Vinci nkasome madini hata mara nne nne
  9. Mnyongeni Mnyonge

    Upekee wa Mlima Kilimanjaro

    hii ni kutokana na kihali ya hewa au hebu ni dadavulie kidogo mkuu nashukuru kwa bandiko zuri
  10. Mnyongeni Mnyonge

    Uungwana: DC wa Iringa Mjini, Richard Kasesela aomba radhi kutokana na kuteleza kwa ulimi wake

    hata hawara aliyekuwa anamrekodi kacheka mimi ni nani hata nisicheke :D:D:D😂😂😂 kwan alieambiwa matako ye anasemaje??
  11. Mnyongeni Mnyonge

    Kiingereza cha Paul Makonda kimejichimbia ardhini

    historia ya huyo mulugo/MULUNGU jina halisi nnayo kama yote aki nkikumbukaga nacheka sana
  12. Mnyongeni Mnyonge

    Kuna haja kuwekwe utaratibu watu binafsi wapeleke hoja bungeni?

    ila kama ni hoja za kugusa maslah yao thubutu watakavokuzingua hasa hao watakaosimamia utaratibu mzima ni bonge la wazo ila utekelezeji wake mkuu nnawasiwasi nao.
  13. Mnyongeni Mnyonge

    Wanaofikiri Lema na Lissu watarudi nchini wanajidanganya. Binadamu hupenda vya bure

    wivu wa kike hivi ni mheshimiwa gani alisemaga hvi???
  14. Mnyongeni Mnyonge

    Sanduku la Agano liko wapi?

    ni lanini sasa au hao wenye sanduku wanasemaje???
  15. Mnyongeni Mnyonge

    Nyanya ni chanzo kikuu cha Antioxidant Lycopene

    wametudanganya nn?? mana ukiwa hujui kitu unaona sawa tuu
  16. Mnyongeni Mnyonge

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Hopefully watakuja wajuzi kukupa information zilizonyooka
  17. Mnyongeni Mnyonge

    Huu mchoro una maana gani? Una siri gani?

    mkuu anza kujua msalaba ni upi na unafananaje
  18. Mnyongeni Mnyonge

    Huu mchoro una maana gani? Una siri gani?

    are u sure kilichovaliwa mkononi ni msalaba??
Back
Top Bottom