Search results

  1. B

    Kupungua au kukosa hamu ya kufanya mapenzi (low sexual libido or loss of libido)

    sawa kabisa,kwakweli tangu nimeanza kazi two months sasa hali yangu kimwili imekuwa si nzuri,nachoka sana. Na hata nikifanya bas nachelewa sanaa kufika kileleni. Nashukuru mwenzangu anaelewa ila tu naona kama namkera japo yeye hajasema kitu. Thanks kwa mawazo yako.
  2. B

    Kupungua au kukosa hamu ya kufanya mapenzi (low sexual libido or loss of libido)

    thanks sana mkuu. Muda mwingi hatupo pamoja kutokana na kazi. Hivi hii inaweza kusababishwa na kazi?
  3. B

    Kupungua au kukosa hamu ya kufanya mapenzi (low sexual libido or loss of libido)

    thanks baba mtu,wacha nikakitafute jikoni. Anything else?
  4. B

    Kupungua au kukosa hamu ya kufanya mapenzi (low sexual libido or loss of libido)

    Habari za kazi wandugu, nipo tutani naomba msaada wenu ili niweze kumfurahisha mpenzi wangu. Lately nimekuwa sina hamu ya kufanya mapenzi kabisa hata nikifanya nakuwa natimiza wajibu tu ili mwenzangu asijisikie kua simjali coz ananipenda sana na ninampenda sana. Nifanyaje ili niweze pata hamu...
  5. B

    Mengi anatarajiwa kufahamu watendaji wake wote kwa majina?

    Kitu cha kawaida sana mkuu,mi huwa nasahau jina la mtoto wangu kabisaaa.na huwa inatokea tu mara nyingi
  6. B

    Nimepata mtoto wa kiume. Mama na mtoto wanaendelea vizuri

    I can feel yo joy,am hap for u mkuu. Mungu ashukuriwe kwa zawadi aliyokupa. Congs for your baby boy......
  7. B

    Hodi Wana JF

    Karibu sanaaa.
  8. B

    Wabongo tunapenda kwenda na wakati, tuige na hii!!

    ok,nitaku update ila uwe kamili maana unaweza jikuta mzee hapandi mtungi kwa kupania.
  9. B

    Wabongo tunapenda kwenda na wakati, tuige na hii!!

    ok,sema wangapi?
  10. B

    Wabongo tunapenda kwenda na wakati, tuige na hii!!

    hashy,nikuletee sampuli kama hiyo?
  11. B

    Wabongo tunapenda kwenda na wakati, tuige na hii!!

    hahaaa,unaogopa kubakwa! Kweli uahirishe maana wanaharakati wanahamasishwa kweli kuhusu swala hili,unaweza jikuta umewekwa selo.
  12. B

    Ukiambiwa hivi utaanzaje?

    Ningempotezea tu naanzisha topic ingine labda kama nilikuwa nammendea.
  13. B

    Msaada: Nawezaje ku-resign kabisa kwenye mtandao wa facebook?

    in a meantime just ignore yo account. Mi yangu cjaifuta ila siiumii,nimeamua tu toka moyoni sifungui full stop. Kuwa na self discipline tu.
  14. B

    Maaskofu ikemeeni serikali-Wasira

    hii nchi banaaaaa,aaagh! Wakisema mnasema wavue majoho,wakinyamaza vibaya,sasa lipi jema?
  15. B

    Houseboy

    mh,huwa wanavutia sana wairaqw na nywele zao na wanajipenda.,
  16. B

    Earth's Magnetic Field Shifts, Forcing Airport Runway Change

    The end of the world is approaching.
  17. B

    Biashara ya Shopping Mall

    Mkuu,una bonge la wazo maana hayo maeneo yamesahaulika sana.
  18. B

    Ugonjwa wa Pumu (Bronchial Asthma): Chanzo, dalili na tiba

    Well, poleni sana. Salbutamol ni nzuri kama itabidi inabid aanze kutumia inhalers. Watoto wangu walianza kutumia inhalers walipokua na miezi tisa. Yao ni mbaya sana huwa wanabanwa mpaka wanawekwa kwenye nebulizer. Ni beta umcheki dr,kama upo dar naweza kukuelekeza dr mzuri sana. Kitu kingine...
Back
Top Bottom