Search results

  1. Hu Jintao

    Computer science na Information Technology

    Habari wadau, poleni na kazi. Hivi mwalimu aliyesoma Mathematics na IT chuo anaweza kufundishia Computer science Kwa ngazi ya A-Level? Nawasilisha mada.
  2. Hu Jintao

    Wana psychology, therapists, philosophers na masocialogists masaada wenu hapa

    Hili suala nimekua nikiliona kwa muda mrefu sana bila kufahamu maana yake au sababu hasa ni nini. Unakuta mtu labda anakuja upande uliopo ghafla akikuona anajifanya yupo bize labda kuongea na mtu mwingine au kufanya kitu asichopanga kwa muda ule na kubadili uelekeo na kwenda njia nyingine Ili...
  3. Hu Jintao

    Tatizo la USB Ports za Laptop

    Habari wadau! Nina laptop yangu aina ya Dell ambayo USB ports zote zimegoma kabisa kufanya kazi.. Na hiyo laptop natumia external keyboard na mouse sababu keyboard yake imekufa. Sasa nikiwasha inaniambia press F1 to continue na hiyo key inapatikana kwenye keyboard nayo haiditect. Msaada wakuu
  4. Hu Jintao

    bluestacks

    Naomba msaada wa link ya kudownload bluestacks. Natumia window 8
Back
Top Bottom