Search results

  1. D

    Faida za Muungano kwa Tanzania Bara

    Hahahaaha kama jina mbona tungebadilisha bila hata kuungana nao.
  2. D

    Faida za Muungano kwa Tanzania Bara

    Habari wanajamvi.. Kumekuwa na malalamiko kutoka kwa watu waishio Zanzibar kuhusu muungano kuwa Tanzania bara ina inyonya Zanzibar. Wakati ninavyojua mimi Zanzibar ndo wananufaika zaidi na muungano kuliko huku bara. Mfano Mtanganyika huwezi kununua ardhi visiwani ila Wazanzibar wengi wako bara...
  3. D

    Nifanyeje niwe na uelewa mdogo?

    Namba 1 mpaka 3 sawa ila huko kwingine ataongeza stress tu
  4. D

    Naomba kueleweshwa kuhusu ordinary diploma in health information science

    Habari zenu wanajf.....samahan napenda kuuliza hivi kozi ya health information science inahusu nini yani mtu aliyesomea hii kozi anafanya kazi gani hospital,salary yake ikoje na vipi kuhusu upatikanaji wa ajira naomba msadaa tafadhali...
  5. D

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Dah binafsi nimekuelewa naomba mambo yakiwa yamekamilika na Mimi hunitag kwenye hiyo thread ya offer
  6. D

    Nmekutana na Bikra feki ikiuzwa

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  7. D

    Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?

    Kwa jinsi ulivyomuongo hata shule ya secondary na advance hujataja kwasabab unajua huko ndo jamaa kazingua
  8. D

    Hivi Babu Seya hawezi kusamehewa?

    Duh.......sema maneno ya mtaani yanakuwa kwa kasi kuliko ukwel wenyew
  9. D

    Mzee wa Upako: Lowassa hawezi kuwa Rais 2020, CHADEMA wanahusika kunichafua

    Mchungaji anaimba kamatia chini....! kwel dunia imefika ukingoni....
  10. D

    Ushahidi Wa Kweli Followers & Viewers Wananunuliwa.

    mh hii ya kununua followers insta mbna ipo sana tena siyo insta mpak twitter,fb ndo kabisa yani likes watu mpak 2k mtu wa kawaid ana pata ujanja wako tu..... kuhus viewers youtub wasanii wengi wamambele na bong wanafany hiz inshu kuna kipind ne-yo alishawahi kuchtumiw kuhus hii mishe na youtub...
  11. D

    Ukitaka mwanao/mdogo asiwe na kibamia soma hapa

    Mtahiri kimasai ndo atakuwa na dushelele.....
  12. D

    Utafanyaje ikitokea hii wakati wa tendo?

    Nitachomeka nyuma(tgo) tuone kama ataendelea kuigiza
  13. D

    Hapo mwanzo mtu alimuumba Mungu kwa mfano wake

    Me naamini kwasababu yote yaliyo tabiliwa kwenye Qur'an na Biblia yametokea na yanazid kutokea
  14. D

    Hapo mwanzo mtu alimuumba Mungu kwa mfano wake

    hataki mapenzi ya kinafiki ndomana alikuwa mbali nasi Wewe ulitaka aonekane ili ukijikwaa tu ukalalamike kwake kwann hakukuepusha na kujikwaa....na ukifiwa na mtoto mdogo ukalie kwake mbna kamchukua bado mdog.....hivi wewe unaihisi malalamiko yatakuwa mangapi? Waswahil husema uvumilivu hula...
  15. D

    USIOMBE YAKUKUTE

    Wanaume wa Dar bhana kwisha kabisa....
  16. D

    PhD ya Dkt. Rais Magufuli iko sahihi, uthibitisho huu hapa

    Mkuu kwani we unazo ngapi
  17. D

    Hapo mwanzo mtu alimuumba Mungu kwa mfano wake

    bora useme yupo hata usipomkuta hujapoteza kitu kuliko kusema hayupo halafu ukamkuta sasa.....
  18. D

    Hivi 2020 kuna Mtanzania ataichagua CCM?

    me sitapiga kura kabisa kwasabab si ccm si ukawa wote wezi tu........kwasabab leo wanasema huyu fisad kesho wanamweka kama mgombea tena anagombea urais na huyu mwingne anajiita mtetez wa wanyonge lakn pesa zao za michango mpak leo hajawapa yani Tz ni sheedah tu
  19. D

    Wanaosema Rais Magufuli hajui kiingereza waumbuka

    Wabongo kumbe bado watumwa.......aliyekwambia kujua English ndo ustarabu na usomi nani.......mbona wao hawaoni aibu kutojua kiswahili (ambayo ni lugha ya pili kutoka kiarabu Africa kuzungumzwa) tena wakiwa hapahapa Africa masharik....Embu tuacha kuwatukuza hao watu na lugha zao tujivunie vya...
Back
Top Bottom