Bajeti ya kwanza ya Serikali ya Awamu ya Tano itaizidi ya Serikali ya Awamu ya Nne kwa Sh7.1 trilioni baada ya Waziri wa Fedha kutangaza sura ya bajeti ya mwaka 2016/17 inayoonyesha kutakuwa na makusanyo na matumizi ya Sh29.5 trilioni.
Sura hiyo ya bajeti ya mwaka 2016/17 inatofautiana na...
Dar es Salaam. Kashfa ya kupanga matokeo na hatimaye kushushwa daraja kwa timu nne imechukua sura nyingine baada ya watendaji waandamizi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kudaiwa kuomba fedha.
Watendaji hao, Juma Matandiko na mwenzake ambaye ni mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya TFF wanadaiwa...
Ok labda wengi hawajui hivi karibuni kulitokea wizi ambao wa kutumia mtandao na hii hali ilikuwa inatumika sana kwa hawa wa airtel money kwamba simu inawapigia kwamba inatoka airtel na kutoa maelezo kadhaa yanayohusu account zao na mwisho kutapeliwa na watu wakalalamika sana kama ka mchezo hivi...
Hao wakiingia interview au mitihani ya bodi kama CPA AU CPSP NA MINGINE UNAKUTA NI SHIDA TUPU KWA SABB ANAYETOA MAKSI NI MKUFUNZI WAKE,KAMA SIVYO WAPEWE MTIHANI MMOJA VYUO VYOTE
Hapa ndipo napoona watu wanahitaji kufunguliwa,kwanza sio kweli watumishi wote ni makanjanja naamini wapo tena wengi je wewe umetembea makanisa mangapi na kuja kuposti au unasubiri wale unaowaona katika tv au redio? Jambo la pili kumbuka kama jambo amelianzisha Bwana litaendelea na kama sivyo...
Ndugu huko zoom hata kama hayo yalinikuta yaani hawa jamaa wa zoom inafika kipindi nawafikiria vibaya sana kwamba wanatengeneza kazi maana hili jambo sio la leo wala jana,Na kazi zinazotoka zoom mara nyingi magumashi sana ,kama kazi labda zile zinazotoka ajira zetu,utumishi,vijana jobs na...
China Yasema Uchaguzi wa Zanzibar Ulikuwa Huru na Wa Haki.....Yaahidi Kuendelea Kutoa Misaada na Kushirikiana na Tanzania
Balozi wa China nchini Tanzania Dkt. LU Youqing amefanya mazungumzo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira Mh. January Makamba Ofisini kwa...
Kama hoja ni kuingia nani mbona mlilalamika juu ya raisi kikwete na alipotoka ameingia magufuli amefanya mabadiliko au hajafanya? Kama hoja ni madeni ya nyuma hata srrikali yako ina madeni ya nyuma lkn mfano magufuli anaonesha njia za kupambana nazo nchi iwe salama sasa kama huyo kaka yako...
Huyu jamaa chuakachara naona hoja zake ni kumtetea malinzi hivi kuna kaundugu nn? Au mwenzetu unasehemu ya posho pale au ni wa kabila lako ndugu maana huna hoja bali kubwabwaja tu wewe huoni mpira unakoenda,umeomba solution ok moja jamaaa yako ajiuzuru mengine nitakuambia baada ya kufanya hivyo
Mara nyingi sana naiguatilia hii TFF ya malinzi kama inajielewa au vip kwa sababu zifuatazo:
1- Wanadaiwa bil 1.8 na nimemsikiliza huyu malinzi analalamika na kusema hata uwanja wa karume nao wanauweza kufungwa kwa sbb ya madeni
2 - Hawajui nani anapaswa kumlipa mkwasa kama TFF au serikali
3...
Hatimaye wakuu wa Mikoa yote nchini wametii agizo la Rais John Magufuli lilokuwa linawataka wasilishe ripoti ya idadi ya watumishi hewa kwenye mikoa husika.
Wakuu hao wa mikoa wapya wamewasilisha ripoti za watumishi hao jana Jijini Dar es Salaam kwa Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa...
Breaking News: Wabunge Watatu Wafikishwa Mahakamani Kwa Tuhuma za Rushwa
Mbunge wa Mwibala,Mh.Kangi Lugola,Mbunge wa Mvomero Mh.Sadiq Murad pamoja na Mbunge wa jimbo la Lupa Mh.Victor Mwambalaswa
**
Wabunge watatu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,wamefikishwa mahakama ya Kisutu leo...
Kauli ya Dk Rutengwe yazua mjadala kila kona
Kauli ya aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Morogoro, Dk Rajabu Rutengwe kwamba anatokea familia maskini
Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Morogoro, Dk Rajabu Rutengwe
Dar es Salaam. Kauli ya aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Morogoro, Dk Rajabu Rutengwe kwamba anatokea...
Siri za JK, Singasinga zafichuka
Chanzo:Mwanahalisi
Na Ansbert Ngurumo - Imechapwa 28 March 2016
SIRI kati ya Ikulu ya Rais Jakaya Kikwete na Harbinder Singh Sethi (Singasinga), aliyekwapua mabilioni ya shilingi katika Akaunti ya Tegeta Escrow, zimeanza kuvuja.
Mabilioni ya shilingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.