Search results

  1. kamdudu

    Ufaransa kuwasilisha Bungeni Muswada wa Sheria ya Kusaida Mtu Kufa

    nzuri sana hio na Tanzania ifikirie kutunga sheria kama hio
  2. kamdudu

    Nimebaini mke wangu amezaa nje ya ndoa na amekiri, naombeni ushauri

    Dear Wife popote ulipo chepuka unavyochepuka ila ukifikia sehemu ya kubeba mimba juandikie talaka mwenyewe mapema kabisa 🙌 Wanaume kubali na vumilia vyote katika ndoa ila sio Mkeo kuliwa na ukajua. usirudi nyuma Kijana fukuzia mbali kabisa
  3. kamdudu

    UPDATE: Vifo vya Ajali Ngaramtoni vyafikia 25

    duh ! ‎na hapo ukisikia 25 ni idadi inatangaza serikali ili kupunguza tu taharuki ila uhalisia hapo ni majanga makubwa sana. ‎nadhani waliokua eneo la tukio ndio wanaujua ukweli. ‎ila yote kwa yote ‎إِنَّا لِلَّهِ وَإِنَّآ إِلَيْهِ رَٰجِعُونَ
  4. kamdudu

    NADHARIA Mwanamke kuwa katika Hedhi inasababisha kunyauka kwa mboga na matunda

    kuna vitu elimu haifui dafu. hakuna shule ya kujifunza uchawi ila unatumiwa jini na linakutesa. uliza elimu kama inajua chochote kuhusu hayo ya hilo
  5. kamdudu

    NADHARIA Mwanamke kuwa katika Hedhi inasababisha kunyauka kwa mboga na matunda

    kuna vitu vingine sayansi haifui dafu hata uchawi sayansi haiutambui kabisa na uchawi upo. kwa hio watu wanaoamini katika sayansi peke yake wanapitwa na mengi sana
  6. kamdudu

    UZUSHI Ugonjwa wa Macho mekundu (Red eyes) huambukizwa kwa kutazamana na Mgonjwa

    ulikuwepo wakati hizo tafiti zinafanywa au ulizifanya wewe ?
  7. kamdudu

    UZUSHI Ugonjwa wa Macho mekundu (Red eyes) huambukizwa kwa kutazamana na Mgonjwa

    kwa sababu zilizotajwa hapo hazina mantiki
  8. kamdudu

    Siku ya Sheria nchini: Jaji Mkuu wa Tanzania asema sasa basi Mahakimu kuandika kwa mkono

    haki iko kwa Mungu tu Mahakamani ni ushetani wa kudhurumu haki za Watu unaoendelea huko
  9. kamdudu

    UZUSHI Ugonjwa wa Macho mekundu (Red eyes) huambukizwa kwa kutazamana na Mgonjwa

    nyie sometimes mnatuonaga hamnazo eti ? mngesema labda ugonjwa huu huambukizwa kwa njia ya hewa ningewalewa ila hizo sababu mnazotaja hazina mantiki kabisa.
  10. kamdudu

    Jamaa yangu ananitesa kisa alinitafutia kazi, ni haki?

    mkate chap we endelea na mambo yako acha mzoea atakuja kukut…mbea hata mke huyo usipoangalia
  11. kamdudu

    Mahakama Kuu ya Kenya yaizuia Serikali kupeleka Askari kupambana na magenge Nchini Haiti

    kumbe kwa Wenzetu Mahakama na Serikali ni vitu viwili tofauti ? halafu serikali inapopeleka Wanajeshi Nchi nyingine inapata faida gani ?
  12. kamdudu

    Trump atakiwa kumlipa mwanamke aliyemdhalisha Kiongono Tsh. Bilioni 211

    kumbe majuu kupigwa mashine ni dili eh ? kashatajirika mtu faster hapo
  13. kamdudu

    Mahakama ya Rufaa yaizuia Serikali kukusanya Kodi ya Ujenzi wa Nyumba

    Bora kwa Wenzetu Mahakama zina maamuzi
  14. kamdudu

    Watoto wa Mr. Ibu wakamatwa wakitoroka na Tsh. Milioni 153 za matibabu yake

    sasa anayewashitaki ni mwenye hela au polisi ? unajua Polisi mna viherehere sana ?
  15. kamdudu

    Fahamu: Saudi Arabia inafungua duka la Pombe baada ya marufuku ya Miaka zaidi ya 70

    Pombe imeharamishwa ndani ya Quran karne ya sita sasa wewe unaleta historia za Watu eti tumekatazwa pombe na Mwanamfalme ?
  16. kamdudu

    Miili ya Watanzania waliofariki kwa Moto Afrika Kusini kurejeshwa nchini

    kwa hio toka mwezi wa 8 mpaka sasa hivi miili ipo mumetunza tu ? ili mgundue nini ?
Back
Top Bottom