Search results

  1. kibori nangai

    Marehemu Captain G Habash aliwahi sema binti yake ataolewa na tajiri tu

    Mkuu kuwa maarufu haikutenganishi na kuwa na tabia kama za watu wengine ,tabia zake kama binadamu wengine hazimfanyi kuwa mtu boraa kama ambavyo kila kada wamemzungumzia mkuu,Suala la kuolewa kwa Binti yake anaamua Mungu,so si swala lake ,naa mambo mengi aliyofanya kwenye jamii yanafunika...
  2. kibori nangai

    Interview invitation - Syspro business support

    Mkuuu Nakusadia tuuu maana yake hiyo kama application inasaidia mambo biashara mkuuu kama software za bank
  3. kibori nangai

    Natafuta kampuni zinatoa internship Arusha

    Kwa Arusha mbona Kiswahili amepatia sana tuu Mkuuu
  4. kibori nangai

    Jina Zuri la kiafrika la mtoto wa kiume

    Lengai Ni jina zuri la Kimasai Lenye maana ya Wa Mungu
  5. kibori nangai

    Wachaga nini siri ya mafanikio yenu?

    Moja kubwa kuliko yotee ni kumtangulizaa Mungu sana Pili Kufanya kazi kwa badiii na kujitoaa sanaa na kutokutegemeaa usaidizi kutoka popeye mkuuu. Tatu Tukifika mjini tukijua wewe ni mchaga na unafanya kazi kwa bidii tutakushika mkonooo Nne Hatuna unafiki hata kidogo unisadie unisadie kwelii...
  6. kibori nangai

    Uchaguzi wa Viongozi wa Kitaifa wa CHADEMA kufanyika Oktoba 2024

    Ndio kama ambavyo mwakani CCM watakavyotoa fomu moja ya uchaguzi wa kiti cha uraisi
  7. kibori nangai

    Ni wakati na sisi Watusi tutambuliwe kama kabila hapa Tanzania

    Muambieni Kagame awatambua Kama ishu ni kutambuliwa Na isotoshe hata RWANDA ina serikali so mkitmbulika huko hapana shida
  8. kibori nangai

    Makonda, Arusha hatuhitaji sifa, suala la wewe kukabidhiwa ofisi sisi halituhusu

    Habari za jioni ndugu wanajukwaa. Naripoti kutokea huku Arusha. Naomba nikupe Taarifa ndugu Makonda sisi watu wa Arusha tuko Busy na utafutaji. Acha sifaa za kijingaa. Nimeona tangazo la makabidhianobya ofisi kati yako na Ndugu Mhe sana Mongela. Swali wewe kukabidhiwa ofisi sisi linatuhusu...
  9. kibori nangai

    Jamaa aliyechoma Qur'ani Tukufu Salwan Momika, amekutwa amekufa nchini Norway

    Swala la kufaaa halihusiani na.kuchoma.Kuruani kama.ulivyoandishi na mawazo yako yalivyowazaa Amekufa kwa sababu siku yake imefikaa Acho upotoshajii
  10. kibori nangai

    Jakaya Kikwete: Hayati Rais Mwinyi ndiye aliyenifikisha hapa nilipo leo

    Wanajamvi sina mda nakusalimuni Sanaa Poleeni kwa Msiba mkubwa wa Nchi yetu. Leo nimeona nite hojaa Monekano wa Raisi mstaafu Kikwete kwenye msiba wa Hayati Mwinyi ni tofauti kabisa Leo kwa ufupi Ana furaha kuliko msiba wa hayati Lowasa alikuwa anaonekana mwenye huzuni Sanaa na furaha...
  11. kibori nangai

    Adela Tillya wa Wasafi mwanamke huyu ananikosha sana

    Hapana mkuu ,mimi ni Kibori Nangai namtafuta Adela ,na sina uhusiano wowote na yeye ,ninachojua ni mtumishi wa wasafi media basii Najua Adela ni greater Thinker na ni mwaandishi wa habari soo jamiiforums hawezi kukosa
  12. kibori nangai

    Adela Tillya wa Wasafi mwanamke huyu ananikosha sana

    Huna shidaa yoyotee ,ukikuwa utaachaa Adelaa do see this hypocrisy
  13. kibori nangai

    Adela Tillya wa Wasafi mwanamke huyu ananikosha sana

    Mkuu unamtaka na wewe Adela wanguu Hapanaaa,mimi namsubiri PM
  14. kibori nangai

    Adela Tillya wa Wasafi mwanamke huyu ananikosha sana

    Mkuu picha ninazo sema siwezi kuweka humuuuu
  15. kibori nangai

    Adela Tillya wa Wasafi mwanamke huyu ananikosha sana

    Nakushukuru Sanaa Nitamvumilia inside alivyo Adelaa Najua unamapugufu kama binadamu wotee ,nami yangu ninayo lkn Lengo langu ni moja tuu I LOVE ❤️ Adela in deep ♥️ Please come PM My heart is awaiting you 💓 ❤️ 💗 ♥️ 💖 💛 💓 ❤️ 💗 ♥️ 💖 💛 💓 ❤️
  16. kibori nangai

    Adela Tillya wa Wasafi mwanamke huyu ananikosha sana

    Adela Wanguu Bado nakusubiri PM Tafadhali njoo basi Adelaaa Nakutafuta ningejua unatuma ID ipi ningekutag hapahapa Management ya jamiiforums.com naomba mnisadiee nimpate Adela Mtangazaji wa WASAFI
  17. kibori nangai

    Adela Tillya wa Wasafi mwanamke huyu ananikosha sana

    Adela umemsikia huyuu. Mimi nina wivu na Adela Tena usije kudhubutu tena kuandika chichi ulichoandika hapaa. Adela njoo please nakusubiri PM 💖💖💖💖
  18. kibori nangai

    Naomba kujuzwa hali ya maisha Korogwe Vijijini

    Hujapunguza hata kituu Kwa kweli Korogwe kama wewe ni mtu wa mishe Dar arusha Moshi tanga mini pale umefika Nakuonyaaa kama wewe ni mwanamme achana kabisa na wake za watuu utalogwaa ufe ndani ya sekunde moja Na kama ni wakike the same.
Back
Top Bottom