Search results

  1. cmases

    Ni simu yangu au Twitter ipo Down?

    Habarini bandugu! Hivi ni kwenye simu yangu tuu au ni ukweli kwamba kwamba Tweeter ipo chini? Kama ipo chini naamini kwa asilimia 100 kuwa kuna uhusiano na kile kinachoripotiwa na Martin kutoka Ubungo Mawasiliano kwenye kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake.
  2. cmases

    kujitambua ni muhimu unapopata mafao

    Wazee wengine bana! Huyu mzee wangu ameniudhi sana. Alipata mafao yake pesa taslim milioni 120. Sasa alikuwa hajawahi hata kushika milioni 10 kama yake. Akajiona yeye ni tajiri mkubwa, akanunua gari mbili za kutembelea, kiwanja na akaanza na ujenzi. Sasa miezi minne tu imepita, kwenye kiwanja...
  3. cmases

    Hii theluthi ya mshahara kama fao

    Habari wanajamvi? Nilipewa Retrenchment toka mwaka Jana, kwa upande wangu nilikuwa mfuko wa PPF na nilikuwa Private Sector. Kiharaka nilijua kuwa baada ya kuiunganisha mifuko ya Hifadhi ya Jamii na Mimi kutostahili kuendelea na PPF hawa jamaa watanikeshi changu ili hata kama nikipata ajira tena...
  4. cmases

    WOSIA: Sababu 3 za kisheria za kumnyima urithi mrithi halali

    SABABU 3 ZA KISHERIA ZA KUMNYIMA URITHI MRITHI HALALI Na Bashir Yakub +255 784 482 959. Warithi halali ni pamoja na watoto wa marehemu na wake/mke wake halali. Kanuni ya 31 Sheria ya Wosia(1963),Tangazo la Serikali Namba 436/1963 inazitaja sababu 3 ambazo mtoa wosia anaweza kuzitumia kumnyima...
  5. cmases

    Viongozi wa Serikali wakiwa kwenye misafaea yao, wanaona sisi tuliowapa dhamana kama magendayeka tu

    Habari wanajamvi? Hakuna kitu kinachokera kama huu mtindo wa viongozi wa Serikali wakiwa kwenye misafaea yao. Yaani wanaona sisi tuliowapa dhamana kama magendayeka tu. Fikiria mnasimamishwa msitumie barabara eti kuna msafara. Mnakaa pembeni ya barabara kwa Massa mawili! Huu ujinga...
  6. cmases

    Kuna tofauti IPI kati ya mtuhumiwa Amber Rutty na Gwajima

    Havari wana bodi? Niende kwenye mada moja kwa moja, Amber Rutty aliwekwa ndani kwa video za ngono ambazo hakuhusika kwenye kizisambaza. Swali langu no kuwa kwa nini isiwe hivyo kwa Gwajima kama wrote hawakukusika kizisambaza? Nawakilisha.
  7. cmases

    Hii ya kutaifisha korosho Imekaaje??

    Heshima kwenu wanajamvi!! Moja kwa moja kwenye mada, Najiuliza huu utaratibu wa kutaifisha korosho eti mtu akishindwa kuonyesha shamba no ubabe au ujambazi? Je, inawezekana korosho zikalimwa hewani na sio shambani? Nachukulia mfano kilimo cha mpunga huku Mbarali, kuna wakulima huwa wanakopa...
  8. cmases

    MTETEZI WA WANYONGE

    Habari wanajamvi, Namtambulisha kwenu mnyonge mwenzetu ambaye hatatugeuka na kujifanya Mungu mtu, hataomba kuwa kiongozi wa Malaika kwani yeye ni binadamu Kama sisi, hatakubali kujiita jiwe wakati ana damu na nyama. So mwingine bali ni WASSIRA. Ndugu zanguni twende naye 2020 kwa utetezi wa...
  9. cmases

    Kurudisha wagombea waliounga mkono juhudi za Rais, je CCM hawana watu wanaofaa kwa hizo nafasi ambao ni watiifu muda mrefu?

    Habarini wana Jf, Niingie kwenye topic, hivi ni kweli kwamba wanaotoka upinzani ni bora kuliko waliosimamshwa na chama dola 2015, je kwa nini utaratibu wa mchakato wakutafutwa wagombea kwenye hizi chaguzi ndogo hazufuatwi? Karubuni kwa mjadala!!
  10. cmases

    Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu kuhusu vita ya UFISADI, lakini kiukweli sioni kama Magufuli yupo serious

    Ndugu wanabodi, Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu kuhusu vita ya UFISADI, lakini kiukweli sioni kama JPM yupo serious. Hebu angalia jinsi kila kitu kilivyo wazi juu ya waliotufikisha hapa tulipo kiuchumi. Angalia Tegeta Escrow, Dowans, na madeni tunayolipa kila siku. Vyote vipo wazi na...
Back
Top Bottom