Kurudisha wagombea waliounga mkono juhudi za Rais, je CCM hawana watu wanaofaa kwa hizo nafasi ambao ni watiifu muda mrefu?

cmases

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
1,766
1,425
Habarini wana Jf,
Niingie kwenye topic, hivi ni kweli kwamba wanaotoka upinzani ni bora kuliko waliosimamshwa na chama dola 2015, je kwa nini utaratibu wa mchakato wakutafutwa wagombea kwenye hizi chaguzi ndogo hazufuatwi?
Karubuni kwa mjadala!!
 
CCM ni intelligent kwani:
I. Huyu mtu alishinda uchaguzi 2015 hivyo alipendwa na wapigakura wake
II. Huyu jamaa amekuwa anaongoza jimbo, hivyo ana mtaji wake kuliko mtu mpya
III. Huyu mtu hajakataliwa na wana jimbo yeye kajing’atua kutoka chama A kwenda CCM!
IV. Upinzani upo weak kiasi jamaa ana uhakika kupata tena!

Unaona watu wanaosoma Alama za nyakati kiasi mtoto wa Lowassa amekataa kugombea maana ingekuwa aibu kwa ukoo wa Lowassa! Haya mambo ya upinzani tusubiri chama kipya kitakachochomoza 2020
 
Upo sahihi mkuu. Watu wamesoma alama za nyakati wakachukua hatua.
 
Ujue kwamba hayo ni makubaliano ya mkataba wao .. Mbali na kulipwa Pesa kuna kipengele wanaahidiwa cha kupewa dezo la kugombea tena!
 
Hao ni wake zao tayari wapo nao muda mref wanasemaga vya kuchepuka huwa ni vitamu kuliko vya ndani mkuu.
 
Habarini wana Jf,
Niingie kwenye topic, hivi ni kweli kwamba wanaotoka upinzani ni bora kuliko waliosimamshwa na chama dola 2015, je kwa nini utaratibu wa mchakato wakutafutwa wagombea kwenye hizi chaguzi ndogo hazufuatwi?
Karubuni kwa mjadala!!
kwani tatizo lako nini wakati wamekubaliana wenyewe?
2020 utaratibu wa kura za maoni utaendelea
ccm ni chama cha siasa,nia yake ni kulidhibiti bunge,kuanzia sasa kila atakaeomba kutuliwa mizigo yake,atapewa tiketi ya kugombea tena
 
CCM ni intelligent kwani:
I. Huyu mtu alishinda uchaguzi 2015 hivyo alipendwa na wapigakura wake
II. Huyu jamaa amekuwa anaongoza jimbo, hivyo ana mtaji wake kuliko mtu mpya
III. Huyu mtu hajakataliwa na wana jimbo yeye kajing’atua kutoka chama A kwenda CCM!
IV. Upinzani upo weak kiasi jamaa ana uhakika kupata tena!

Unaona watu wanaosoma Alama za nyakati kiasi mtoto wa Lowassa amekataa kugombea maana ingekuwa aibu kwa ukoo wa Lowassa! Haya mambo ya upinzani tusubiri chama kipya kitakachochomoza 2020
Ameuliza jibu walahi
 
Habarini wana Jf,
Niingie kwenye topic, hivi ni kweli kwamba wanaotoka upinzani ni bora kuliko waliosimamshwa na chama dola 2015, je kwa nini utaratibu wa mchakato wakutafutwa wagombea kwenye hizi chaguzi ndogo hazufuatwi?
Karubuni kwa mjadala!!
Moja kati ya makubaliano wakati wa kununuliwa hao wabunge, ni kurudishwa tena kugombea.
Hizi ndo siasa za Bongo
 
Ni mkakati wa kuwatia moyo wanaonunuliwa kuwa watakuwa Salama wakikosa ubunge teuzi zingine zinawangoja
 
Kinacho ni shangaza au kustahajabu hawa wanaotoka upinzani.. Inaonekana ni bola zaidi maana akuna kula za maoni anapita moja kwa moja inamaana katiba ya ccm uaga inafichwa kwa muda kama wanashindwa kuheshimu katiba yao je wana weza kuheshimu katiba ya taifa..
 
Iyo ina dhihilisha kuwa chadema ni chama bora kuliko ccm
Ndugu yangu Waitara Ccm,Kalanga Ccm,Lowassa Ccm,Sumaye Ccm badoo unasema CHADEMA ni chama bora!??wanaohama kutoka CHADEMA kuja CCM asilimia kubwa walikuwa CCM, Dr.Slaa mwenyewe alikua CCM kabla ya kwenda CHADEMA....2015 niambie ni viongozi wangapi waliteuliwa kuwa wagombea ubunge na udiwani waliohamia kutoka CCM!?Niambie mgombea wenu wa urais 2015 alitoka Chama gani kama Sio CCM!??my friend mmepoteza mwelekeo wa kuandaa viongozi wenu kama Chama.
 
Kinacho ni shangaza au kustahajabu hawa wanaotoka upinzani.. Inaonekana ni bola zaidi maana akuna kula za maoni anapita moja kwa moja inamaana katiba ya ccm uaga inafichwa kwa muda kama wanashindwa kuheshimu katiba yao je wana weza kuheshimu katiba ya taifa..
Ndugu yangu ni mara ngapi kura za maoni zinapigwa ndani ya CCM ndani ya CHADEMA lakini matokeo yakifika KAMATI kuu yanapigwa chini na badala yake Mgombea mwingine ambaye ameshindwa huteuliwa kugombea!?
Kamati kuu ndio ya mwisho,sio tuu CCM hata huko CHADEMA,kwahiyo kura za maoni tusubiri 2020 hukooo!!!
 
Back
Top Bottom