Search results

  1. Lepanto

    Mfahamu mdudu kunguni (bedbugs) na jinsi ya kumuangamiza

    Hawa wadudu wana akili kweli. I think sumu ya wadudu iitwayo fiprofam (haina harufu ila ni sumu) ikipigwa sehemu husika (kingo za kuta, kitanda, shelves watateketea tu). Care should be taken kuepusha madhara kwa binadamu.
  2. Lepanto

    Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

    Maeneo/ vyumba ya kuabudia yapo kwa kila college kwa mathehebu yote. Utaratibu uliopo uendelee hivyo hivyo. Kujenga makanisa/misikiti eneo la serikali si vema.
  3. Lepanto

    Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

    RC wanajenga parokia nje ya UDOM. Si kwamba walishindwa kusimamisha majengo ndani ya UDOM. Madhehebu mengine wajifunze.
  4. Lepanto

    Serikali yapiga marufuku mazao ya uhandisijeni(GMOs) nchini

    Yaani kwa kweli naipongeza serikali kwa hatua hii. Kuna watu wachache walikuwa wanasifia hizi mambo kwa malengo tu waendelee kupata fedha za miradi toka kwa wahisani. Tanzania bado hatuna weledi wa kudeal na GMO. Bado tech yetu ni ndogo. Tukijiingiza kichwa kichwa mbali na madhara...
  5. Lepanto

    Msaada: Mume wa wifi yangu amempa mimba dada wa kazi nyumbani kwangu; familia imevurugika

    kweli simama nae. Alijitahidi kubana ila kwa huo mshiko lazma angeachia tuuu.
  6. Lepanto

    Picha ya siku: Maisha lazima yaende kama kawaida,tazama wana Ukara

    Ilipinduka up down within seconds abiria wakashindwa kutoka. Naimani ingezama taratibu asingekufa mtu.
  7. Lepanto

    Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    Nilisikia konda wa basi akitoa matangazo kwa abiria wake kuwa wale wasiokuwa na ticketi waingie ndani ya basi wakatiwe, na Kila abiria achimbe dawa kabla basi halijaondoka as dereva akishaondoa gari hasimamishi.
  8. Lepanto

    Hivi maex huwa wanaachana?

    Nimekusoma, na ndio mana upstair upo vizr sana, huna stress za kijinga jinga.
  9. Lepanto

    Je, miaka 7 bado ni umri sahihi kumuanzisha mtoto shule ya msingi?

    huyo akitoboa fm 4 ni bahati na sibu. Na hivi msingi anaishia la sita jiandae kupokea sufuri hapo bdae
  10. Lepanto

    Polisi aliyemkodi mwenzake ili amtie mimba mkewe, amfikisha mahakamani kwa kushindwa kumtia mkewe mimba

    Maisha yana changamoto kweli kweli. Tuna haja ya kumshukuru Mungu sana kwa hali yoyote ile tuliyonayo.
  11. Lepanto

    Polisi aliyemkodi mwenzake ili amtie mimba mkewe, amfikisha mahakamani kwa kushindwa kumtia mkewe mimba

    Mzee naona it is like kwako kugongewa ni bora kuliko kum adopt mtoto wa ndugu yako
  12. Lepanto

    Polisi aliyemkodi mwenzake ili amtie mimba mkewe, amfikisha mahakamani kwa kushindwa kumtia mkewe mimba

    Kama ni hivyo basi bora kuadopt mtoto wa ndugu na siyo kuchapiwa.
  13. Lepanto

    Polisi aliyemkodi mwenzake ili amtie mimba mkewe, amfikisha mahakamani kwa kushindwa kumtia mkewe mimba

    Kuepusha kuchapiwa kimtindo bora kuwe na benk ya mbegu. Ma Sire wauze na wanaohitaji wakanunue.
  14. Lepanto

    Nchi zinazoongoza kuwa na wenye elimu ya PhD wengi duniani

    MWISHO WA SIKU MAENDELEO NDIO JAMBO LA MSINGI. PHD MBWEMBWE TU.
Back
Top Bottom