Search results

  1. Feld Marshal Tantawi

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Nadhan pia anaweza saidiwa kwa upande wa nuruni halaf yy ataamua nadhan kakata tamaa na kuna madhabau zinamfanyia hayo mambo Inatakiwa aelekezwe hatua kwa hatua na nina uwakika atashinda changamoto zote na wote watamlipa
  2. Feld Marshal Tantawi

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Daaa huyu mtu anahitaji msaada mkubwa,nadhan had kafikia kuandika hivi naamin kaumizwa sn
  3. Feld Marshal Tantawi

    Be Forward wamekuwa wajanja na waongo, magari yanaletwa mabovu

    Kaka south africa unaweza kuwa na connection nataka ndinga moja toka huko mana naona watu wengi wanazisifia sn gari zao
  4. Feld Marshal Tantawi

    Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Kuna kitu inaitwa elope kuna mtu katumia humu na kama ndio vip ipoje kwa perfume na body spray Lkn pia ukiachana na dolby na dark fever na body spray gan kali sn ambayo si me wala ke anaweza tumia
  5. Feld Marshal Tantawi

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Mkuu walker kama utapata kibali hebu ongezea nyama kidogo kuhusiana na kiti mana kuna tetesi kuwa hali si hali ndani ya hicho kitu Pia nn kinaendelea juu ya kutoonekana mmoja wa walio karibu zaid na hicho had sasa mana naona kama vurugu ni nyingi sn Tunaomba sn kaka
  6. Feld Marshal Tantawi

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    bible code:- MESE MESE MEMESI MEMESI Kazi yake;- Yesu kukubatiza kwa Roho mtakatifu na moto (Yohana 1:33, Matendo ya mitume 2:1-25, luka 4:18, waamuzi 14:6,19, Waamuzi 15:14) Kama una-mtoto mchanga au mtu mzima ni vizuri ukamuomba Yesu akambatiza kwa Roho mtakatifu na moto Roho mtakatifu kukaa...
  7. Feld Marshal Tantawi

    Natumia Biblia kutatua changamoto

    Unaposema unamalizia na maana yake unamaanisha nn,fungua code kaka
  8. Feld Marshal Tantawi

    Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Yanaptikana kwenye mti gan hayo mafuta na huo utomvu
  9. Feld Marshal Tantawi

    Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Yanaptikana kwenye mti gan hayo mafuta na huo utomvu
  10. Feld Marshal Tantawi

    Car4Sale Canter Tipper for sale

    😂😂😂😂😂😂😂
  11. Feld Marshal Tantawi

    Kwanini Waislam hukinzana na Wakristo na sio Imani nyingine?

    Mwanga na giza havijawahi kutana pamoja hivo ni kawaida sn hio mana mafundisho yao ndio giza lao
  12. Feld Marshal Tantawi

    Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Kaka vip,je unga wa karafuu siwez uweka kwenye loshen au mafuta yoyote ya mgando?
  13. Feld Marshal Tantawi

    Naungana na Paul Makonda "Tanzania Hakuna Upinzani, Kuna Watoa Taarifa"

    Kwann usiweke uchaguz uwe huru na haki mana hakuna upinzan kabisa Kwanini usiweke uchaguz uwe huru na hali au uwape wanach katiba wanayoitaka mana hakuna upinzan kabisa
  14. Feld Marshal Tantawi

    Ushuhuda: Mkojo wangu wa asubuhi ulivoniponya

    Hata mke wako usiongee nae Hebu fafanua vizur hapa Na je kama ushaongea na mkeo nn kinafuata
Back
Top Bottom