Search results

  1. Mashimba Son

    Furaha Dominic akamatwa akisambaza picha za Utupu

    Yaaah ni Bora ukafanye Interview UN au sehemu nyingine kuliko kazi ya kupigiwa Kura.!
  2. Mashimba Son

    Januari Makamba atapita njia ya Hayati Lowassa katika safari yake ya kisiasa

    Hesabu Zimevurugika za wengi sana waliokuwa wanakinyemelea kiti ukizingatia 2025 tunaenda na Mama hadi 2030 wanachoka kabisa wanajikaza tu.!
  3. Mashimba Son

    Plot4Sale Jipatie Viwanja na Mashamba Dodoma

    Heka Moja ni Sqm 4,000 kwahiyo kiwanja chako ni Nusu heka na point
  4. Mashimba Son

    Madai ya Janeth Shayo, Mkazi wa Uru, Moshi, kutosikilizwa

    Mimi natamani sana Viongozi wote nchini ambao Ofisi/Nyadhifa zao zinahusika na kuhudumia jamii wawe kama MAMA yangu Dorth Gwajima wawemke urahisi wa kuwasiliana na wanachi maana siyo rahisi kwa raia wa kawaida kumfikia Ubarikiwe sana.!
  5. Mashimba Son

    Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

    Amemuonea, hakukuwa na Sababu ya Kumpiga Raia na isitoshe alikuwa ashaanza kurudi nyuma kupisha msafara.!
  6. Mashimba Son

    Mito yote inayokwenda kumwaga Ziwa Victoria tumeshindwa kuwa na vyanzo vya umeme vidogo?

    Hata ukienda pale Ndanda,Mtwara Wazungu wanazalisha umeme wao na maji wametegesha yantoka tu hayaahitaji wala umeme.!
  7. Mashimba Son

    Nyimbo ambazo azijawahi kuchosha kusikiliza

    Nyimbo za Kassim Mganga
  8. Mashimba Son

    Kwa huu mshahara, take home ni shingapi?

    Utaondoka na 840,000/
  9. Mashimba Son

    Mke wangu kamuambia mchepuko wake hajaolewa

    Samahani natoka nje ya Mada Mimi kinacho nifurahisha-ga jamii forum kila mtu anachumba cha Wageni na Muda wote kipo wazi akikorofishana tu na Mpenzi wake mmoja anahamia chumba cha Wageni.!
  10. Mashimba Son

    Serikali inawabagua wanafunzi wa shule binafsi; ushahidi huu hapa

    Mara nyingi Wanafunzi waliosoma Private huwa hawaripoti kwenye shule walizochaguliwa hivyo inafanya shule kongwe kuwa na wanafunzi wachache,hivyo kwa muktadha huo serikali imeona ni bora tuwapeleke wanaohitaji na watasoma huko.!
  11. Mashimba Son

    Nimekutana na Degree Graduate wa HR kutoka Mzumbe anauza Pub

    Kama hutojali naomba Mawasiliano yake Pm.!
  12. Mashimba Son

    FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

    Tumeyatunza je bado unaendelea kutushauri tuendelee kuyatunza.? Utopolo shida sana nyie.!
  13. Mashimba Son

    Makonda kupata teuzi wakati wowote kutoka sasa

    Mbona Ndugai ashatangaza toka mwaka 2020 kuwa 2025 hatogombea tena Ubunge kwahiyo stori yako inakuwa haina Mashiko.!
  14. Mashimba Son

    UTEUZI: Maharage Chande aondolewa TTCL, ateuliwa kuwa Postamasta, Ulanga arudishwa TTCL

    Shirika la Posta halina cheo cha Mkurugenzi kwahiyo posta masta ndo anakuwa boss Mkuu wa Shirika.!
Back
Top Bottom