Search results

  1. K

    Yona atoswe baharini ili merikebu isizame

    Fasihi fasaha!hongera sana Kwa mistari sahihi!
  2. K

    Uchaguzi 2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa

    Akitoka kwenye hiyo kamati atakuwa ameimarika zaidi!Nenda Lisu nenda baba mkono wa Mungu Uko juu yako!
  3. K

    Uchaguzi 2020 Divine Power ndani ya Lissu si mchezo

    Uko sahihi kwa [emoji817]% kuna nguvu ya Mungu ndani yake!
  4. K

    Tundu Lissu ni tanzi kwa utawala

    Uko sahihi kabisa! Kuna kitu ndani yake!
  5. K

    Utamaduni wa woga ndiyo umempa Lissu na Seif umashuhuri

    “Hebu tafuta shujaa ndani ya CCM kama Halima Mdee” Nimepapenda hapo Na umemtendea Halima haki yake!huyu dada ni wa mfano Kwa anachokiamini!
  6. K

    Uchaguzi 2020 Makosa ya wakubwa yanavyomnufaisha Tundu Lissu

    Wanazidi kuwapa watu matamanio ya kutafuta kujua Lisu kaongea nini kila leo!lakini haya yote si bure kuna nguvu fulani ndani ya Lisu!muda utasema!
  7. K

    Uchaguzi 2020 Ombi: Tume ya Uchaguzi tunataka mdahalo wa Wagombea Urais

    Ni jambo la muhimu sana!tupate nafasi ya kuwapima wagombea Kwa maswali .
  8. K

    Hakuna chama duniani kinaendekeza wasiotii maazimio ya chama/ Mwenyekiti wake

    Umenena Kwa usahihi sana! Sent from my iPhone using JamiiForums
  9. K

    RC Makonda atoa saa 24 kuwakamata Wabunge kama wazururaji endapo hawatarudi Bungeni. Wabunge wamjibu

    Kwani hao wabunge wamezuia bunge kuendelea?Mbona mnaotaka warudi mna hasira sana?? Sent from my iPhone using JamiiForums
  10. K

    Joseph Mbilinyi Sugu: Tumetoka kwenye Maombi, tumeingia kwenye Nyungu. Rais arudi Ikulu

    Sana! Ni akili kubwa! Wana Mbeya hamkukosea. Sent from my iPhone using JamiiForums
  11. K

    Tukiuza Boeing 787-8 tunaweza kununua Ventilator 9,245. Ila kwa sasa tumenunua moja tu toka mlipuko wa corona utokee

    Hii hatari sana tangu hili tatizo lianze hadi leo Ndo tunafunga mashine moja! Hapa itabidi tuendelee kumbebesha Mungu mzigo wa kutusaidia!. Sent from my iPhone using JamiiForums
Back
Top Bottom