Humu ni jukwaa huru hata CCM mbatumia matusi ya kila aina hakuna wa kuwazuia, lakini live kwenye vyombo vya habari hakuna mpinzani ataweza kuwaita CCM misukule kwani atabambikiwa kesi ukoo wake wote waozee jela

Kuna upande mmoja matusi ni kama mfumo wa kuchangia, ni vizuri kuepuka majibishano ya moja kwa moja na watu wenye matusi na washari. Mimi nawaita Madictator wa JF. W
 
W
Hoja ni hii tu mmeishikilia huku mkijua ni stori stori
Mjibu anayouliza 1.5tr uwanja wa chato ndege zimenunuliwa kihuni Hazina pesa hakuna kupotea na kuuwawa kwa watu kupigwa risasi
Haya ndiyo yanawahusu walipa kodi
Ushoga ni maisha binafsi hajawahi kusema ataruhusu ushoga
Alisema Katiba izingatiwe
Msipindishe maneno
WAkimuomba vielelezo atakosa
 
Mtaji wetu sisi ni watanzania wenye sifa za kupiga kura, waliojiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura na wenye kadi ya mpiga kura kama ni hao ndio unawaita wajinga basi sawa sisi wajinga tutakipigia kura ya ndio chama cha mapinduzi kwa wingi sana.

Watakaopigia chama cha majambazi ndio wajinga, miaka yote hata bima ya afya ni shida kwa kila mtanzania, halafu mtu anaenda kupoteza muda wake kwenye foleni ya kupiga kura na kuwachagua hao hao kama huo sio ujinga ni nini!.
 
Wanafiki ninyi msionadi sera za chadema mnaowashamulia wagombea wengine kwa majina kinyume na maadili ya uchaguzi
Tarime leo hii

Asante sana Tarime Vijijini kwa @hechejohn sasa tuhakikishe kwa wingi wetu huu n ( 426 X 640 ).jpg
 
Lissu hajawahi kumbembeleza Shetani na hatothubutu , mlikosea mliposhindwa kumuua tu pale dodoma

Inasemwa kuwa Tundu Lissu alikoswakoswa na wahuni wasofahamu kulenga shabaha.

Mimi sielewi chochote.

Ila kama una taarifa yoyote basi mtafute kamanda Muroto.
 
Kuna upande mmoja matusi ni kama mfumo wa kuchangia, ni vizuri kuepuka majibishano ya moja kwa moja na watu wenye matusi na washari. Mimi nawaita Madictator wa JF. W
Polepole kawaita wapinzani misukule leo hii hii je? NECCCM Tumeccm watamwita kumhoji?
 
NECCCM Tumeccm sasa unatumika vibaya kuminya demokrasia, ICC taasisi za haki za binadamu Duniani waitizame NECCCM kwa jicho la tatu
Wewe sema mpira mnarudisha kwa kipa. Na sisi uchaguzi huu ama afe kipa au beki lazima tuiondoe Chadema kwenye chama kikuu cha upinzani.
 
Akitoka kwenye hiyo kamati atakuwa ameimarika zaidi!Nenda Lisu nenda baba mkono wa Mungu Uko juu yako!
 
Kama kweli tume ipo huru, wamwite Magufuli aje athibitishe Lissu anatumiwa na Mabeberu kama sio uzushi na upunguani
 
Inasemwa kuwa Tundu Lissu alikoswakoswa na wahuni wasofahamu kulenga shabaha.

Mimi sielewi chochote.

Ila kama una taarifa yoyote basi mtafute kamanda Muroto.
kabla mimi sijamtafuta muroto muulize uchunguzi wa jambo lile ulipoishia
 
Watakaopigia chama cha majambazi ndio wajinga, miaka yote hata bima ya afya ni shida kwa kila mtanzania, halafu mtu anaenda kupoteza muda wake kwenye foleni ya kupiga kura na kuwachagua hao hao kama huo sio ujinga ni nini!.
Hatuwezi kumchagua Lissu kibaraka wa mabeberu anayetaka kuyaweka madini yetu rehani. Ni mshenzi sana yaani rasilimali zetu akaziweke rehani pumbavu kabisa.
 
Back
Top Bottom