KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,189
- 17,157
Unajua sentensi hii inaumiza sana?Tatizo ni kwamba John ana miaka kama 5 tuu aondoke.. lakini maisha ya siasa ni zaidi ya miaka 5.
Hata sijui kwa nini umewaza hivyo.
Hiyo sehemu ya pili "...lakini maisha ya siasa ni zaidi ya miaka 5", haileti ahueni yoyote, kwa sababu kila siku ya maisha inahesabika katika hiyo miaka 5.
Hebu liwaze vizuri hili jambo utaona mantiki ninayoilenga.