Search results

  1. Wissman

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Ogopa sana Uswahili. Maeneo mengi yenye Uswahili mambo ya kishenzi sana ni utamaduni wao. Vigodoro nk
  2. Wissman

    ID ya kipekee sana jf ni hii; imenishangaza sana

    We ni kiazi kweli. Unacreate ID moya then unaianzishia thread
  3. Wissman

    Tiba ya Kitoweo tembe yake munyu

    Kuna watu wapo nje ya mchezo ndio wachezeshaji. Wanawaangalia tuu. Mwisho wa siku utasikia tuu kuna watu Wamejaa kwenye mtego ambao umeshawekwa. Tuupe muda wakati kujiandaa kupokea majibu.
  4. Wissman

    Bashe amhakikishia Rais Samia kwamba hakuna Mwananchi atakayekufa njaa Serikali ina Chakula cha kutosha kabisa

    Ni miongoni mwa wanaomwingiza mama mkenge. Amekuwa mwimba mapambio kila siku
  5. Wissman

    Deni la Tanzania lafika 71.5 Trilioni

    Tunakopa hela zinapoenda siko kulipokusudiwa.
  6. Wissman

    Rost-Time kaingia, anga limechafuka ghafla, majanga mfululizo

    Kuna jambo kubwa lipo nyuma ya Taifs Gas. Muda utaongea
  7. Wissman

    Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Machi, 2021

    Naomba huu uzi uwe updated na kila safari yake atakayoifanya tuone yeye na Vasco wa msoga nani amesafiri kwa tija. Maana huyu kilabanapornda ni kukopa tuu
  8. Wissman

    Rais Samia amewasili salama China, hii hapa picha akiwa Uwanja wa Ndege Beijing

    Mpunzisheni huyu mama. Ya mwendazake yasije kutokea.
  9. Wissman

    Nauza vifaranga vya bata bukini

    Tatizo lako unauza bei ghali sana. Ila utapata wanaoweza hiyo bei
  10. Wissman

    Jirani yangu kapoteza ufahamu gafla chooni ila ni mzima

    Aache kunywa energy drink zaidi ya moja. Au aache kabisa.
  11. Wissman

    BASATA waufungie wimbo wa Albert Mangwea

    "najua hamwezi kwenda haja ndogo mmesimama, lakini mnaweza fanya kila kitu tunafanya" wewe ndio ulimwelewa vibaya ila hakuimba uinga unaouwaza
  12. Wissman

    Wachina Huimba muziki wa Aina gani?

    tumeelewana 😂😂😂
  13. Wissman

    Hivi hili suala la gawio bado lipo?

    Majaliwa bado anatumia akili za mwendazake
  14. Wissman

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Wameshatoa ramani ya wapi utapata signal na wameruhusu pre-order, ni wewe mwenyewe kuangalia kama utaziweza gharama na kuagiza vifaa. Maana wanasema no technical knowledge required for installation
  15. Wissman

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    kuna mageuzi makubwa ya internet yanafanywa na bwana Musk soon internet itapatikana popote at fair speed check starlink internet project ambayo hata south imeanza kazi utaelewa. hata hapa bongo waweza nunua hiyo antena na ukapata internet kwa gharama nafuu tuu.
Back
Top Bottom