Search results

  1. LoyalTzCitizen

    Najiskia vibaya Watanzania tukidhauriliwa/kusemwa vibaya

    Wakenya watasumbua wale ambao hawajawahi kuishi huko. Wanajitekenya na kujichekea.. Hali yao mbaya just as any African state. Hawachekani na Tanzania. In fact bila chenga tumewapita mengi kuliko waliyotupia sisi. Ila bado wana zile old swags za wazazi wao na mpaka sasa wamekariri kuwa wametupita.
  2. LoyalTzCitizen

    Tathmini yangu ya maaandamano ya CHADEMA

    Wewe kwa mtazamo wako unafikiria ni kwa nini CDM waliandamana!?
  3. LoyalTzCitizen

    Hii hapa ratiba ya Hatua ya 16 Bora ya AFCON 2023 Nchini Ivory Coast

    Mama Kizimkazi lakini alijitahidi nae, aliongea nao kwa simu kabla ya kick off.
  4. LoyalTzCitizen

    Heche: CHADEMA haitashiriki Uchaguzi wowote kama Mazingira ya Siasa yatabaki kama yalivyo sasa

    Sio rahisi kama unavyofikiria, nchi sio ya mtu mmoja au kikundi cha watu fulani wenye maamuzi tu yote kama wanavyojitahidi kuwaaminisha kuna sheria za ndani na za nje zinzozimulika za ndani kama tochi. Consequencies zake zina impact wengi na sio wachache.
  5. LoyalTzCitizen

    Trump Says Immigrants From Africa, Asia, South America Are ‘Poisoning Blood of Our Country’

    Huna idea na vitu kabisa. Umeshawahi kuishi nchi yoyote huko uarabuni!?/na je ni kwa muda gani!?
  6. LoyalTzCitizen

    Joseph Mbilinyi (Sugu) apanda Mazabauni kushiriki Ibada ya kuchangia Ujenzi wa Kanisa, Achangia hela ndefu

    Huwa unakurupuka sana! Aliyekwambia kuwa sugu ni mkinga ni nani!?
  7. LoyalTzCitizen

    Prophet Lovy Elias kukiwasha Kijitonyama

    NOT TRUE, hata kidogo. Dont judge or stereotype ni kosa kubwa sana tena sana ktk maisha yako.
  8. LoyalTzCitizen

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Kama kweli unaamini kuwa hii ni vita kawaambie Hamas wavae uniforms na waingie mtaani na waache kujifichaficha ktk civilian shielding approach kama kweli wanaume. Waache kuvizia
  9. LoyalTzCitizen

    Ndio naanza kupata picha kwanini HAMAS walishambulia, walijipanga sana, mahandaki 800

    Israel are considering flooding the tunnels. Hii ya kumtoa nyoka pangoni naona kama itaondoka na mateka
  10. LoyalTzCitizen

    The Guardian (UK)- UAE owns 8% of Tanzania’s forest

    Halafu wanakataa kuwapa uraia pacha diaspora wenye vinasaba vya Tanzania ili kuwazuia kuwa na uhalali wa umiliki wa ardhi.
  11. LoyalTzCitizen

    Mbona Israel hawajamtambua mateka wa Tanzania aliyekufa

    Ndio maana ninataja neno ukichaa, sababu hata utambui kuwa tarehe saba Hamas waliivamia Israel, na pia hijui kuwa kijana wetu alikuwa Israel anasoma sasa umaongea utumbo gani hapa. Unafikiria kuwa Israel waljivamia na kuathiri maisha ya huyo kijana!?
  12. LoyalTzCitizen

    Mbona Israel hawajamtambua mateka wa Tanzania aliyekufa

    Kwa kweli tulipofikia inatia kinyaa. Hamas wamemteka kijana mwanetu aliyekuwa Israel nadhani wakamfanya mateka, sasa kuna vichaa wanakuja na kuilaumu Israel tena dah!
  13. LoyalTzCitizen

    Mzee wa Upako: Waraka wa TEC unadhoofisha mipango ya Serikali, haijalishi mipango hiyo ni mizuri au mibaya

    Nahisi Kalewa huyu au ananyemelewa na mental disturbances! Kwani Mzee wa upako anauzungumziaje mkataba?? Nona yupo njee kabisa ya maada. Mambo ya kurusha jiwe gizani sijui! Mambo ya kujimwambafai eti ni mwanazuoni mbobevu, eti sijui watu wanamtenga kwakuwa ni mlevi!! Whaat an idiot!!. Naona...
  14. LoyalTzCitizen

    Askofu wa kanisa la Ufunuo ashutumu viongozi wa Kanisa Katoliki kwa kuingilia masuala ya siasa

    Kuna takataka nyingine nimeisikia inalalama tu kuwa ooh wakatoliki sio dini kubwa, kwani nani anapambania udiki kubwa. Hivi huwa ni nani ana approve vilaza kama Mzee wa Upako kuwa wachungaji. Nikagundua kuwa kumbe ana sababu yake binafsi. Huyu mzee wa Upako kachanganyikiwa lolss. Inaonekana...
  15. LoyalTzCitizen

    Kuuzwa kwa bandari zetu: Ni nini msimamo wa Jakaya Mrisho Kikwete?

    Amaanishe leo baada ya tamko la TEC!? Mbona hakusema hayo wakati wale.mashekhe walipokuwa wakiropoka kuhusu huo mkataba!?
  16. LoyalTzCitizen

    Rais Mstaafu Jakaya Kikwete: Msijaribu Kuchanganya Dini na Siasa Hata Kidogo

    Kwani yeye JK tangu sakata hili linaanza mpaka mashehe wale ubwabwa walikuwa wanaongelea huu mkataba, mbona hakuja hadharani kukemea hilo la kuchanganya  siasa   na  dini ?? Alikuwa wapi mpaka amesikia tamko la waRoma ndio anaamka?? Wasifanye wa Tz wajinga.
  17. LoyalTzCitizen

    Waraka wa TEC wajadiliwa TV IMAAN

    Hawana uwezo huo ila ushabiki tu wenye vinasaba vya udini.
  18. LoyalTzCitizen

    Waraka wa TEC wajadiliwa TV IMAAN

    Hawana uwezo wa kujadili vipengele sababu kwanza hata hawavielewi. Juzi kati nilimsikia shehe mmoja anasema "kwani kuna shida gani kama DPW wakimiliki all port teritorries and corridors kama mkataba unavyosema"!?.  Nikaona hapa kuna shida, hata kama ni haki kwa kila mtu kusema, ila dah KUNA...
  19. LoyalTzCitizen

    MoU kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

    Ni lini  wananchi walishirikishwa ktk mkataba kati ya DPW ba Serikali!?  ukishatujibu tutakujibu swali lako hapo juu.
Back
Top Bottom