Search results

  1. X-not

    Wizi ticketi za kulipia parking uwanja wa ndege wa kimataifa.

    Habari, waungwana! Sijui kama kuna mtu humu alishawahi kutoa hili au lah! Na kama tayari mnisaidie na mimi pia. Imenitokea mara ya pili sasa, na nimechoka kutokana na gharama kuwa kubwa. Hapa umwanja wa ndege wa JNIA terminal 2, kunautaratibu wa kulipia parking kiasi cha Tshs. 1000/- kwa...
  2. X-not

    Tatizo katika ku-access browser ya simu na operamini.

    Habari waungwana. Ninaomba msaada katika kutatua hili tatizo. Ninapenda sana kutumia browser ya operamini katika simu zangu zaidi hata ya browser ya simu yenyewe. Lakini hivi karibuni nikijaribu kutumia operamini inakataa kabisa inachofanya ina-load tu halafu hata haifungui, tatizo hili...
  3. X-not

    Tafsiri!

    Habari ya wakati huu waungwana! Ninaweza saidiwa hili neno kwa kiswahili linaitwaje? 'BUSY' 'in swahili vocabullary' Kwasababu watu wengi utawasikia wakisema, 'nipo busy bwana, au hata kwa mbwembwe anaindika 'bizzy'.... Napenda kuwasilisha.
  4. X-not

    Enzi hizo!

    Dah! Hivi unakumbuka kipindi kile upo shule na mpenzi wako, mapenzi moto moto. Ikifika likizo tu, na mapenzi nayo yanakwenda likizo mpaka mtakapo fungua tena shule...!!!?
  5. X-not

    Naomba msaada wa project waungwana!

    Hi! Nachukua shahada ya uhandisi yaani 'Electronics & Communication Engineering', nakaribia kujiandaaa kufanya project kwa ajili ya kumaliza, kichwani kwangu nahisi sina mwongozo wa kutosha, labda ni kwasababu sijapata 'exposoure' ya kutosha. Tafadhari kama kuna yeyote anawazo, site za...
  6. X-not

    Msaidieni huyu mtoto!

    Watoto walikuwa wakicheza, muda wa kurudi nyumbani ukafika. Mmoja akaanza kulia, Mtumishi wa Mungu akamuuliza, 'Unalia nini?'. 'Nimepoteza yeboyebo zangu', dogo akajibu. Mtumishi akamwambia, 'Nyamaza mwachie Mungu'. Dogo akamwambia, 'Hazimtoshi ni ndogo'.:pound:
  7. X-not

    Nimefunga!

    Kuna jamaa watatu marafiki sana, mpaka kiasi wakawekeana nadhiri kuwa kila mmoja wao akifanya jambo awakumbuke wenzake, umri ukaenda kija mmoja akafanya kazi yake, mmoja wao akawa akienda bar anakunywa bia 3, bartender siku 1 akamuliza sababu, na kujibiwa kuwa ni ahadi yao. Kuanzia juzi akawa...
Back
Top Bottom