Nimefunga!

Nimefunga!

X-not

Member
Joined
Sep 9, 2010
Posts
58
Reaction score
4
Kuna jamaa watatu marafiki sana, mpaka kiasi wakawekeana nadhiri kuwa kila mmoja wao akifanya jambo awakumbuke wenzake,
umri ukaenda kija mmoja akafanya kazi yake,
mmoja wao akawa akienda bar anakunywa bia 3, bartender siku 1 akamuliza sababu, na kujibiwa kuwa ni ahadi yao.
Kuanzia juzi akawa anakunywa bia mbili, yule bartender akampa pole akijua kuwa mmoja wao amefariki, yule jamaa akamjibu sivyo, mimi niko kwenye KWARESMA hizi ni za marafiki zangu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom