Search results

  1. M

    Benjamin Mkapa Aids Foundation wanalipaje mishahara?

    Pole sana kwa majibu ambayo naamini bado hayajakuridhisha. Ushauri wangu ni kuwa omba likizo au off ya muda mfupi nenda kwenye hizo training angalia maslahi ndo utoe maamuzi kabla hujaandika barua ya kuresign. unaweza kufika kule ukakuta salary haieleweki itakuwa ngumu sana kwako na kurudi...
  2. M

    Nyumba inapangishwa Kiseke, mwanza

    Dear Omuntunamuntu As per all the concerns you have raised most of them are realities but you have exagerrated some especially issue ya majirani. Nyumba imezungukwa na watu kote. Actually it has been so long na mtu alishahamia since December last year, but I am still thanking you atleast after...
  3. M

    UVCCM: Rostam anyang'anywe uraia na kufukuzwa nchini

    Jamani mmeona taarifa ya ITV jinsi UVCCM walivoongea live kuhusu Rostam Aziz kuondoka haraka sana hapa nchini? Mwalionaje hilo ni unafiki au wanamaanisha? Au ndo JF imewachallenge to that extent?
  4. M

    Mshauri wa CCM na Msekwa: JamiiForums tishio kwa CCM; wadai ni ya CHADEMA

    Jamani na ishu ya UVCCM kumfukuza Rostam mmeiona ITV? Mnasemaje?
  5. M

    UWT yafuata nyayo za Umoja wa vijana; yaonya wanaokosoa CCM hadharani

    Hivi jamani huu ni umoja wa wanawake Tanzania au ni UMoja wa wanawake wa CCM Tanzania?
  6. M

    Mwanakijiji yuko wapi kuhusu tiba ya babu wa Loliondo?

    Kwa taarifa ni kuwa hiyo mia tano yenyewe haichukui yote. Shillingi mia tu ndo yake na mia nne inaenda kanisani. Watu wanaenda kwa sababu ni kweli wanapona. Hiyo huwezi kuifananisha hata siku moja na ishu kama ya DECI coz yeye hakushawishi uende ni matatizo yako ndo yatakayokupeleka na hakuna...
  7. M

    Waziri Selina Kombani (Katiba na Sheria) na Hatima ya Katiba Mpya

    Kaka sio kukalili ni kukariri!! mkumbuke mwalimu wako wa kiswahili alikuwa anahangaika kukuelewesha duh!!
  8. M

    Makamba atumia Biblia kuwalaani Chadema: HUYU MZEE KACHANGANYIKIWA

    Anasahau kuwa hata hiyo Biblia hairuhusu kuchakachua madaraka, wala kuwapiga wananchi. Wananchi walikuwa wanaandamana bila kukusudia kumdhuru mtu, polisi wakaingilia kati Makamba alitegemea nini katika hilo? Pia kama mkutano wa hadhara uliruhusiwa walitegemea watu wafikeje uwanjani bila kuwa...
  9. M

    Maandamano ya CHADEMA Arusha: Mabomu yarindima, raia wauawa na viongozi wakamatwa

    Guys inatisha!! tunakoelekea ni kubaya nina wasiwasi na wafuasi wa CHADEMA kuingia msituni na kuwa rebels. Really I am now scared!! MUNGU aturehemu. Mliona ule mkusanyiko wa watu jana uwanjani wakiwa wanamsikiliza PHD???? Dr. Wilbroad SLaa? Jamani wote wale wakiwa against CCM duh!!!! MUNGU...
  10. M

    Nyumba inapangishwa Kiseke, mwanza

    Jamani kuna nyumba inayopangishwa Kiseke Mwanza, ni nyumba ya PPF, ila imeongezwa zaidi, imepigwa plasta na rangi nzuri, ina vyumba vitatu masterbedroom na vingine viwili, ina gate na fence, ina garden, ina maji na umeme. Gharama yake ni sh. millioni 3 kwa mwaka
  11. M

    Nyumba ya kupanga ipo Kiseke - Mwanza

    Million mbili na nusu kwa mwaka ndo mwisho kabisa. Una mtu?
  12. M

    Nyumba ya kupanga ipo Kiseke - Mwanza

    Jamani kuna nyumba ya kupanga inapatikana maeneo ya Kiseke PPF Mwanza, ina vyumba vitatu, self contained, ina master bedroom, na vyumba vingine viwili, ina maji na umeme, ina fensi na gate sh. 250,000/= kwa mwezi.
  13. M

    Mshahara wa project officers!!

    Thank you so much prezzdaa, geophysics and kabila01 for your comments. They were so helpful Siku njema
  14. M

    Je we ni mwaminifu kwenye uhusiano ulionao?

    Ndiyo mi ni mwaminifu!! kwani kama dunia inaongozwa na shetani baba wa uharibifu ndo kila mtu awe mtumwea wake? hilo nalipinga na waaminfu wapo japo waweza kuwa wachache compared to wasio waaminifu!!
  15. M

    Mshahara wa project officers!!

    Hi!! Guys!! Kindly advise on the salary that the prject officer is supposed to get. Mwenye Postgraduate Diploma in Public Health, Degree in Social Sciences na more than 5 years experience ya projects. Akienda kwenye interview akiulizwa mshahara wa kiasi gani asemeje??? Kindly advise!!
  16. M

    Ninamtaka ila Naogopa!

    Ama kweli hisia za ngono zikipanda watu hujisahau sana!! Kwahiyo hata mkeo ni wako ukiwa nae tu??? Kaka Kiiza hebu jiweke kenye position ya huyo mume wa mdada unayemmaindi mwache mwenzio ale vyake kihalali peke yake na si kumchachua mwenzio duh!!
  17. M

    Ninamtaka ila Naogopa!

    Kaka Kiiza eti ukimkuta mkeo naye anachakachuliwa na mwanaume mwingine utareact vipi? Utajisikiaje? Kindly reply
  18. M

    Kumekucha Bungeni - PICHA za wabunge wapya wakiwa Dodoma

    Jamani eeeh!!!!!!!!!!! kaka umemaindi nini manake binti mwenyewe duh!! hata mimi natamani kwenda bungeni!!
  19. M

    Ninamtaka ila Naogopa!

    Wacha wewe!! Kakae na mkeo mpambe awe mrembo kama huyo unayemtamani then mpe tuition ya unachotaka akufanyie then kuleni pwiso mpaka kuche!!
Back
Top Bottom