Mshahara wa project officers!!


M

Makiyuve

Member
Joined
Sep 7, 2010
Messages
56
Likes
1
Points
0
M

Makiyuve

Member
Joined Sep 7, 2010
56 1 0
Hi!! Guys!!

Kindly advise on the salary that the prject officer is supposed to get. Mwenye Postgraduate Diploma in Public Health, Degree in Social Sciences na more than 5 years experience ya projects. Akienda kwenye interview akiulizwa mshahara wa kiasi gani asemeje???

Kindly advise!!
 
P

prezzdaa

New Member
Joined
Nov 21, 2010
Messages
2
Likes
0
Points
0
P

prezzdaa

New Member
Joined Nov 21, 2010
2 0 0
Makiyuve mm ninavyofahamu maana nimeshafanya na hao watu muda kidogo, huwa wanachukua kama take-home 1.6 hivi lakini ni project officers kwenye mashirika ya umma
 
G

geophysics

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
905
Likes
2
Points
35
G

geophysics

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
905 2 35
Inategemea ni shirika lipi..kwa kuwa private institutions zina scale za mishahara tofauti kutegemea na mahitaji ya mtaalam husika lakini ukiomba 1.8 to 2.5m ni reasonable kwa kuanzia hasa kama project hiyo ipo tanzania
 
kabila01

kabila01

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2009
Messages
3,568
Likes
2,972
Points
280
kabila01

kabila01

JF-Expert Member
Joined Apr 21, 2009
3,568 2,972 280
I am a zone field manager. Mshahara kwenye NGO nyingi hawana scale isipokua inategemea wewe competency yako ya kuwa convince wakulipe mshahara unaotaka kutokana na experience na elimu yako pamoja na uwezo wako katika kujibu maswali kwenye interview. The same position mnaweza kua mnafanya watu wawili na kila mtu akalipwa mshahara tofauti. Katika NGO yetu M&E analipwa hela nyingi kuliko Program manager na M&E anaripoti kwa program manager hii ilitokana na M&E kuwagomea kabisa kwenye interview salary waliyokua wamepanga kumpatia

Kama kampuni ilipanga kuajiri program officer wawili na budget yao ya mshahara ilikua ni sh milion 4 kwamba kila mmoja atapata milion 2. the kwenye interview mmoja akakataa kushuka chini ya 3 na mwingine akataka alipwe milion 1. Basi watafanya hivyo kwa kua haiathiri bajet yao na yule mwenye 3 wanaona ni muhimu sana kwao na hawataki kumwachia
 
M

Makiyuve

Member
Joined
Sep 7, 2010
Messages
56
Likes
1
Points
0
M

Makiyuve

Member
Joined Sep 7, 2010
56 1 0
Thank you so much prezzdaa, geophysics and kabila01 for your comments. They were so helpful

Siku njema
 

Forum statistics

Threads 1,237,986
Members 475,809
Posts 29,308,910